Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kama SEX sio kitu muhimu, nyie mmetokea kwenye mchele eeh na maharage ? Asee nyie mnakosa itakuwa hamja experience na kujua hiyo ni zaidi ya chakula au kulala ndio maana watu wanapata hadi msongo wa mawazo na kujinyonga, SEX ipo connected na nafsi.. chakula kinaishi kwenye tumbo tu.. watu wanagongwa na magari kwa ajiri ya mambo yaliyo connected na sex, ila sio kwa kukosa chakula
Unajaribu kuniambia nini Mimi mlokole nisiye na ndoa? Kwangu sex sio kitu muhimu, I can stay for long time without it.
Njaa sasa? Hapa penyewe natetemeka kwa njaa msosi bado haujafika 😂
 
Kama wewe tu ulivyoamua kufosi dunia ya sasa kuwa na hao watu wanaotembea kwa mguu kutoka iringa hadi Mbeya eti" for fun"

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli utuweke huru. Kusafiri "for fun" kunahitaji pesa. Pesa inahitajika kwa ajili ya nauli au mafuta Kama gari private emergency njiani, kulala hotel, kula na kunywa n.k.
Kama unaenda karibu basi hata karanga ziwepo. Hela muhimu asee.
 
Unajaribu kuniambia nini Mimi mlokole nisiye na ndoa? Kwangu sex sio kitu muhimu, I can stay for long time without it.
Njaa sasa? Hapa penyewe natetemeka kwa njaa msosi bado haujafika 😂
Ohooo.. mie sijatuma mtu aka sex au atamani sex.. nimesema SEX ni muhimu kuliko chakula.. ukiniwekea hapo sex na chakula nachagua sex.. Ukikaa mda mrefu sana patapotea 😎
 
Haifahamu njaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ile njaa ya kutokujitakia.

Halafu uzi wetu wa kilo 60 sijui umefutwa[emoji1745]

Sent using Jamii Forums mobile app
Haijui huyu wakishua 😂

Itakuwa maana hata zile notification hazipo tena. Mods kuna muda wanakuwa jau Sana. Sasa ule uzi una shida gani? Au wameushift? Ila wangeshift notification zingekuwepo.
 
Ohooo.. mie sijatuma mtu aka sex au atamani sex.. nimesema SEX ni muhimu kuliko chakula.. ukiniwekea hapo sex na chakula nachagua sex.. Ukikaa mda mrefu sana patapotea 😎
Hebu acha kuhalalisha vitu ambavyo sio muhimu kwa binadamu.

Wewe ni wa tofauti sana. Sex over food uchague sex kweli? Utaperform vipi na njaa? We huijui njaa nina uhakika.
 
Haijui huyu wakishua 😂

Itakuwa maana hata zile notification hazipo tena. Mods kuna muda wanakuwa jau Sana. Sasa ule uzi una shida gani? Au wameushift? Ila wangeshift notification zingekuwepo.
Mie sipendi chakula by nature kwa amabe ameisha wahi niona au kukaa na mie automatic atajua tu, kwamba sipendi chakula .. kidogo humu Deeboyfrexh anaweza kujua.. chakua sipendi kabisa, zaidi natumiaga vitu moto moto kama kahawa .. endekezekni chakula tu mtapata corona
 
🙂 🙂 🙂.. umeisha weka booking Julieth wangu .. hapo ni ku switch tu viwanja.. maisha haya usipo furahia kwa kidogo ulicho nacho basi unakuwa ni mtu usie na shukrani Bwana Mungu anaweza akakunyanganya akampa Bakharesa
Utanyang'anywa apewe nani? 🤣🤣🤣 ila wewe

Na'book, ikiwa tayari nitakujulisha.
 
Are you married? If yes uko sawa.

Lakini isiwe ya sogea tuishi. Ile ambayo inatambulika duniani na mbinguni... Lakini bado mtakula tu, njaa itawakomesha maana nyie hamko kwenye kundi la ndege wa angani.
Mambo ya wizara ya ndani hayo.
Elewa SEX ni bora kuliko chakula.
Sogea tuishi ni legal, ndio maana huwa kuna kubariki ndoa , ndoa zinazo barikiwa ni hizi sogea tuishi na serikali inatambua mkiisha ishi nahisi miezi sita inatambua..
 
Back
Top Bottom