Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Asante mkuu una mawazo kama yangu .Ukweli utuweke huru. Kusafiri "for fun" kunahitaji pesa. Pesa inahitajika kwa ajili ya nauli au mafuta Kama gari private emergency njiani, kulala hotel, kula na kunywa n.k.
Kama unaenda karibu basi hata karanga ziwepo. Hela muhimu asee.
Sent using Jamii Forums mobile app