Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Lakini kula ulikula,kulala ulilala na nguo ulivaa.Binadamu anatakiwa kula mara tatu kwa siku ila mie nilikuwa nakula mara moja tu
Kuhusu kulala nilikuwa naishi kwa shemeji na nguo ninazo chache ambazo ni kauka nikuvae
Sex siyo hitaji muhimu kwa binadamu mahitaji muhimu ni yale ambayo binadamu akiyakosa anakufa
Tayari wewe siyo masikini[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app