Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ukweli utuweke huru. Kusafiri "for fun" kunahitaji pesa. Pesa inahitajika kwa ajili ya nauli au mafuta Kama gari private emergency njiani, kulala hotel, kula na kunywa n.k.
Kama unaenda karibu basi hata karanga ziwepo. Hela muhimu asee.
Asante mkuu una mawazo kama yangu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya wizara ya ndani hayo.
Elewa SEX ni bora kuliko chakula.
Sogea tuishi ni legal, ndio maana huwa kuna kubariki ndoa , ndoa zinazo barikiwa ni hizi sogea tuishi na serikali inatambua mkiisha ishi nahisi miezi sita inatambua..
I got you Romeo 😁
 
Haijui huyu wakishua [emoji23]

Itakuwa maana hata zile notification hazipo tena. Mods kuna muda wanakuwa jau Sana. Sasa ule uzi una shida gani? Au wameushift? Ila wangeshift notification zingekuwepo.
Siuoni kabisa hata kwenye replies zangu.

Wana fitina hawa Mods..
Hawataki tujimwayemwaye na kilo zetu 50.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kahawa ni chakula

Wewe kutopenda kula haimaanishi sex ni muhimu kuliko chakula.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Are you married? If yes uko sawa.

Lakini isiwe ya sogea tuishi. Ile ambayo inatambulika duniani na mbinguni... Lakini bado mtakula tu, njaa itawakomesha maana nyie hamko kwenye kundi la ndege wa angani.
Aache kufananisha njaa na vitu vya ajabu


Mwili bila chakula hauendi ..unless awe anaishi rohoni tu! Na ukiwa duniani lazima uishi mwilini .
Hata Mungu mwenyewe alilazimika kuja duniani kwa jinsi ya mwili,,aliuvaa mwili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narudia hujui nguvu ya SEX, naweza mpa mtu VX.R V8 kwa ajiri ya sex na sio kwa ajiri chakula..
 
Anaelewa na anajua vizuri ila ameanza kuiga tabia yako ya ubishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…