Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Hawajapata sex chakula ya ubongo,wanapata tu chakula ya utumbo ndio maana wanakuwa na mambo ya ajabu ajabuWanasikitisha sana. 😂
Wapi ulisikia dawa ya brain ni chakula ?Anaelewa na anajua vizuri ila ameanza kuiga tabia yako ya ubishi.
Itakuwa wamepata hasira wanatuonea wivu na kilo zetu 50[emoji1787]Wanasikitisha sana. [emoji23]
Hee[emoji23][emoji23]Anaelewa na anajua vizuri ila ameanza kuiga tabia yako ya ubishi.
Ohoomkate na divai au maji.. achana na sex wewe.. nikiona neno sex hadi nashiba na usingizi juu.. acha nikalale kwangu
Dawa ya brain ni utulivu wa akili na nafsi.Wapi ulisikia dawa ya brain ni chakula ?
ila uki sex akili hutulia na brain huanza chakata mahesabu vizuri kabisaa
Sex ndio inakufanya uishi??Narudia hujui nguvu ya SEX, naweza mpa mtu VX.R V8 kwa ajiri ya sex na sio kwa ajiri chakula..
Hee[emoji23][emoji23]
Huko mwisho umeharibu,mimi siyo mbishi[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Lini ulishiba chakula ? kula nyie kila siku mnataka kula na ndivyo ilivyo sex.. chakula kwa tumbo, sex kwa brain ndio utajua kipi muhimu
Ndio
Wivu haukuji bure bure. Itakuwa aliyefuta ni kifutu 😂 kipipa cha hajaItakuwa wamepata hasira wanatuonea wivu na kilo zetu 50[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana Sex inaleta nyumba na gari ila chakula kinawapa watu uhai.Mie kwangu sex ni bora kuliko chakula, na wapo wenzangu wanajua sex ni bora kuliko chakula. endeleeni kula labda mtapata VX.R
SEX inawapatia watu nyumba na magari.. ila sio chakula
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vumilia [emoji1787][emoji1787]
Yaani we jamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lini ulishiba chakula ? kula nyie kila siku mnataka kula na ndivyo ilivyo sex.. chakula kwa tumbo, sex kwa brain ndio utajua kipi muhimu
Tembea kutoka Dar hadi mbeya, au kalale juu ya miti kama sio muhimu.. ili uhai uwe uhai na wenye maana una contents muhimu..Inawezekana Sex inaleta nyumba na gari ila chakula kinawapa watu uhai.
Gari na uhai kipi Cha muhimu kwako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya na mie ngoja nikatufe chakula ya akili sio chakula ya tumboYaani we jamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila leo nimeandika Sana,ngoja nipumzike.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tembea kutoka Dar hadi mbeya, au kalale juu ya miti kama sio muhimu.. ili uhai uwe uhai na wenye maana una contents muhimu..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Malazi ni basic need,sex siyo basi needs
Unaweza Kuishi bila hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa[emoji23]Haya na mie ngoja nikatufe chakula ya akili sio chakula ya tumbo
Tunaishi siku zote na bado hatujakufa.basi anza kuishi hivyo mkuu..