Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

hiyo kitu ina heshima yake, sio ya kuilinganisha na hayo mambo basics, hiyo ni zaidi ya basics needs.. utasikia kesi za watu wameua kwa ajiri ya hiyo kitu, ila sio kukosa nguo au chakula ndio utajua ni zaidi ya basiki niidi
Hilo siyo hitaji muhimu la binadamu mkuu sema ni vile tu binadamu wanajiendekeza vinginevyo unipe cases za watu kufa sababu ya kukosa sex kama ambavyo mtu anaweza kufa sababu ya kukosa chakula achana na hizo habari za kuuana
 
Ili mradi umekula na umelala bila kujali umekula vipi au umelala vipi,wewe tayari si masikini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Oohh basi kama ni hivyo hata hao wanaoishi chini ya dollar moja kwa siku siyo masikini tena maana nao wanakula na wanalala haijalishi wamekula vipi au wamelala vipi

Maana kama wasingekuwa wanakula au wanalala basi wangekuwa wanakufa kila siku ila wengine bado tuko nao mitaani kila siku wanadunda tu hadi uzeeni

I rest my case now
 
Sex iliwekwa kwa ajili ya kuzaliana tu na siyo starehe ila kwa vile binadamu wanapenda anasa ndiyo wameifanya kuwa starehe wamejiendekeza na matokeo yake inawaendesha

Wanajiona kama hawawezi kuishi bila sex wakati kuna watu wanaishi bila sex kuanzia wanabalehe hadi wanakufa uzeeni hawapati matatizo yoyote hayo matatizo mnayaendekeza tu

Usifananishe msosi na vitu vya ajabu ambavyo ni anasa tu
 
Inabidi kutia tia diko tu hivyo hivyo 😅 japo kwa spana mkononi!
 
Hahahahahah mama utakanyaga waya hapo 😅 vichwa vitapiga shoti
 
Tofauti yao na wewe,wao wamedhindwa kudunduliza hako kalaki ambako wewe umedunduliza.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani aliwahi kufa kwa kukosa sex?

Lakini njaa inaua mchana kweupe.



Anyway,,,

Naona tumegeuza garage kuwa chitchat,kumradhi wadau[emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Huzijui nyege wewe.

Nyege zinasababisha ajali.

Kuna maamuzi unayafanya ukikosa utamu.

Usifanye mchezo na sex.
 
Tofauti yao na wewe,wao wamedhindwa kudunduliza hako kalaki ambako wewe umedunduliza.


Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ndiyo hiyo wote mimi na wao ni masikini ila tu tofauti ni hiyo uliyoiainisha

Ndiyo sawa na mtu asiye na miguu tu na mtu asiye na miguu na mikono wote ni vilema ila tofauti yao ni idadi tu ya viungo ambavyo hawana

Narudia kama mtu huna pesa za kukidhi mahitaji yote ya muhimu ya binadamu na nyingine zikabaki kwa ajili ya kufanya maendeleo na kuweka akiba wewe NI MASIKINI and thats just that on that
 
Ukishaweza kumudu kusafiri tayari wewe ni tajiri.
Kusafiri pia inahusisha gharama za maisha.
Hiyo laki tayari ushavuka dollar 1.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kakuambia sex ilikuwa kwa ajiri ya kuzaliana tu ? Ivi una mjua fisi maji kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…