Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hilo siyo hitaji muhimu la binadamu mkuu sema ni vile tu binadamu wanajiendekeza vinginevyo unipe cases za watu kufa sababu ya kukosa sex kama ambavyo mtu anaweza kufa sababu ya kukosa chakula achana na hizo habari za kuuana
Ujue nyie hamjanipata. Sex ni muhimu sana, ila haifanyi nisile chakula. Binafsi ukiweka chakula na sex, naanza na sex.. kula nakula ila napenda zaidi sex.. ndio inafanya napiga mahesabu ya hatari yaani ila ukishibaa ukipewa hapo hata ka hesabu ka kichovu utalala mbele tu
 
Wewe kuanza na sex haibadili kweli kwamba chakula ni muhimu kuliko sex.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona kuna mahali umeunga mkono hadi mahusiano ya "sogea tuishi" kwani biblia inasemaje kuhusu sex
Sijatuma mtu akafanye hivyo. Nimeongelea kuna mahala ndoa hubarikiwa mfano ME ni Hindu na KE ni christian, hao hata kama wanaishi pamoja Mke humtaksa mume na ki biblia ipo hivyo, kuna mazingira mengi ya watu kuishi pamoja na badae hubarikiwa. Alafu watu tunavyotazamia dhambi ni tofauti sana, Mfano mie Mkristo na mke muislam biblia inasemaje hapo ?

1Korintho 7: 13 Na kama mwanamke mwamini ameolewa na mwanaume asiyeamini, na huyo mwanaume amekubali kuishi naye, basi huyo mwanamke asimpe talaka. 14 Kwa maana huyo mwanaume asiyeamini anatakaswa kwa ajili ya mkewe naye mwanamke asiyeamini anatakaswa kwa ajili ya mumewe anayeamini. Kama isingalikuwa hivyo watoto wao wangalikuwa si safi, lakini ilivyo sasa wao ni watakatifu.
 
Hukohuko kudunduliza kuna walioshindwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehe yaani unarudi tena kule kule

Na ndiyo maana mwanzo nilikuambia utajiri haupimwi kwa mtu kuweza kupata kitu ambacho mwingine anashindwa kupata (hata kama huyo aliyekipata amekipata kwa kuungaunga na kwa kujibana) na nikakutolea mfano wa vilema ambao ni relevant kabisa

Naona umeanza kujikoroga sasa
 
Sijatuma mtu akafanye hivyo. Nimeongelea kuna mahala ndoa hubarikiwa mfano ME ni Hindu na KE ni christian, hao hata kama wanaishi pamoja Mke humtaksa mume na ki biblia ipo hivyo, kuna mazingira mengi ya watu kuishi pamoja na badae hubarikiwa. Alafu watu tunavyotazamia dhambi ni tofauti sana, Mfano mie Mkristo na mke muislam biblia inasemaje hapo ?

1Korintho 7: 13 Na kama mwanamke mwamini ameolewa na mwanaume asiyeamini, na huyo mwanaume amekubali kuishi naye, basi huyo mwanamke asimpe talaka. 14 Kwa maana huyo mwanaume asiyeamini anatakaswa kwa ajili ya mkewe naye mwanamke asiyeamini anatakaswa kwa ajili ya mumewe anayeamini. Kama isingalikuwa hivyo watoto wao wangalikuwa si safi, lakini ilivyo sasa wao ni watakatifu.
Sasa mbona umeongelea watu wa dini na madhehebu tofauti tu kana kwamba ni hao tu ndiyo huwa na mahusiano ya aina hiyo wakati tunashuhudia vijana wengi wenye dini au madhehebu yanayofanana wanaishi pamoja kama mke na mume na wengine kuzaa kabisa ilihali hawajafunga ndoa
 
Back
Top Bottom