Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Meditation lazima iwe na object, na kama huwa una meditate kwa empty your soul upo kwenye hatari ya kuwa attacked spiritual.. meditate neno la Mungu hadi roho yako ipate mlo wake,
Point hapa ni kwamba hata meditation ni chakula cha ubongo regardless una meditate kuhusu object gani so msisingizie kwamba mtu asiposex tu basi ubongo utakosa chakula you know what im saying
 
Sasa mbona umeongelea watu wa dini na madhehebu tofauti tu kana kwamba ni hao tu ndiyo huwa na mahusiano ya aina hiyo wakati tunashuhudia vijana wengi wenye dini au madhehebu yanayofanana wanaishi pamoja kama mke na mume na wengine kuzaa kabisa ilihali hawajafunga ndoa
Mie sizungumzii hao, na sijatuma mtu akafanya sex.. au kuvuta sogea tuishi.. kuna mema na mabaya, chukua mema tu. Humu wote ni watu wazima, sijatuma mtu mtu aka kwichi kwichi sihusiki na dhambi za mtu 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Mie sipendi chakula by nature kwa amabe ameisha wahi niona au kukaa na mie automatic atajua tu, kwamba sipendi chakula .. kidogo humu Deeboyfrexh anaweza kujua.. chakua sipendi kabisa, zaidi natumiaga vitu moto moto kama kahawa .. endekezekni chakula tu mtapata corona
Na wewe endekeza s.e.x tukuunge kwenye grid ya Taifa 😂
 
Mie sizungumzii hao, na sijatuma mtu akafanya sex.. au kuvuta sogea tuishi.. kuna mema na mabaya, chukua mema tu. Humu wote ni watu wazima, sijatuma mtu mtu aka kwichi kwichi sihusiki na dhambi za mtu 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
🤣🤣🤣🤣
 
Mie sizungumzii hao, na sijatuma mtu akafanya sex.. au kuvuta sogea tuishi.. kuna mema na mabaya, chukua mema tu. Humu wote ni watu wazima, sijatuma mtu mtu aka kwichi kwichi sihusiki na dhambi za mtu [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Haha basi sawa
 
Point hapa ni kwamba hata meditation ni chakula cha ubongo regardless una meditate kuhusu object gani so msisingizie kwamba mtu asiposex tu basi ubongo utakosa chakula you know what im saying
Unajua unapo fanya sex nini hutokea mwilini ? na uniambie unapo kula hutokea nini na pia nielezee kuhusu meditation hutokea nini.. Sex ipo juu ya vyote hivyo na ninaweza kukufanunulia from zero to infinity
 
Hawa nafikri hawajawai sex, au kukutana na ile sex pro max.. ndio wangeelewa kuwa chakula kinafatia sex.. mie mtu wangu akifika cha kwanza kabla ya msosi analiwa yeye then ndio chakula
Nafunga safari hadi nje ya nchi kisa sex tu.

Ila nalala njaa bila shida yeyote.

Bosi wako akiwa mwanamke asipokazwa vizuri huko ofisini hamkai. Kuna maamuzi anakosea waziwazi.
 
Nafunga safari hadi nje ya kisa sex tu.

Ila nalala njaa bila shida yeyote.

Bosi wako akiwa mwanamke asipokazwa vizuri huko ofisini hamkai. Kuna maamuzi anakosea waziwazi.
😀😀😀😀 Ukweli wanaujua, hapa wanatuzuga tu.. ila hapo wanatamani kweli kweli wanaona nomaaa..

Watu huwa tuna force safari kufata Sex zaidi ya 1000km.. hawa hawajui tu

Ukipigiwa tu simu, tayari unaamsha safari mda huo huo hata kukopa.. mie mala nyingi sana sili, ila nikikosa sex napagawa kabisa
 
Back
Top Bottom