Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Point hapa ni kwamba hata meditation ni chakula cha ubongo regardless una meditate kuhusu object gani so msisingizie kwamba mtu asiposex tu basi ubongo utakosa chakula you know what im sayingMeditation lazima iwe na object, na kama huwa una meditate kwa empty your soul upo kwenye hatari ya kuwa attacked spiritual.. meditate neno la Mungu hadi roho yako ipate mlo wake,