Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
hapa ni safiii.. vipi unapika chakua au upo kwenye road trip ya ndani
Ujue nyie hamjanipata. Sex ni muhimu sana, ila haifanyi nisile chakula. Binafsi ukiweka chakula na sex, naanza na sex.. kula nakula ila napenda zaidi sex.. ndio inafanya napiga mahesabu ya hatari yaani ila ukishibaa ukipewa hapo hata ka hesabu ka kichovu utalala mbele tuHilo siyo hitaji muhimu la binadamu mkuu sema ni vile tu binadamu wanajiendekeza vinginevyo unipe cases za watu kufa sababu ya kukosa sex kama ambavyo mtu anaweza kufa sababu ya kukosa chakula achana na hizo habari za kuuana
Nasubiri unionyeshe mfano.hapa ni safiii.. vipi unapika chakua au upo kwenye road trip ya ndani
Aiseeeinategemea una meditate nini.. Unaweza meditate kitu ukipendacho. Mie na meditate sex, mwingine ana mediatet mizimu hadi ina mtokea
Wewe kuanza na sex haibadili kweli kwamba chakula ni muhimu kuliko sex.Ujue nyie hamjanipata. Sex ni muhimu sana, ila haifanyi nisile chakula. Binafsi ukiweka chakula na sex, naanza na sex.. kula nakula ila napenda zaidi sex.. ndio inafanya napiga mahesabu ya hatari yaani ila ukishibaa ukipewa hapo hata ka hesabu ka kichovu utalala mbele tu
Unataka unipunguze nguvu za kiume na hiyo chanjoo eeh 🙄🙄🙄Hiyo comment yake aisee 😂 huyu anatukazia fuvu tu hapa. Ila njaa anaijua vizuri.
Romeo nakugawa Holy Man au nikutoe sadaka ya jaribio la chanjo ya uviko.
Anakuenjoy tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aiseee
Unajuaje labda hiyo laki nimedunduliza mwaka mzima tena kwa kujibana na kusacrifice baadhi ya mahitaji muhimu jeUkishaweza kumudu kusafiri tayari wewe ni tajiri.
Kusafiri pia inahusisha gharama za maisha.
Hiyo laki tayari ushavuka dollar 1.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hukohuko kudunduliza kuna walioshindwa.Unajuaje labda hiyo laki nimedunduliza mwaka mzima tena kwa kujibana na kusacrifice baadhi ya mahitaji muhimu je
Nimeona kuna mahali umeunga mkono hadi mahusiano ya "sogea tuishi" kwani biblia inasemaje kuhusu sexNani kakuambia sex ilikuwa kwa ajiri ya kuzaliana tu ? Ivi una mjua fisi maji kwanza
Hawa hawajawi sex ndio maana wana ikandia na kama wamewahi.. basi ni chini ya kiwangoHahahahahah mama utakanyaga waya hapo 😅 vichwa vitapiga shoti
Teh teh hayaAnakuenjoy tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama ambavyo nakuenjoy.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huzijui nyege wewe.
Nyege zinasababisha ajali.
Kuna maamuzi unayafanya ukikosa utamu.
Usifanye mchezo na sex.
Sijatuma mtu akafanye hivyo. Nimeongelea kuna mahala ndoa hubarikiwa mfano ME ni Hindu na KE ni christian, hao hata kama wanaishi pamoja Mke humtaksa mume na ki biblia ipo hivyo, kuna mazingira mengi ya watu kuishi pamoja na badae hubarikiwa. Alafu watu tunavyotazamia dhambi ni tofauti sana, Mfano mie Mkristo na mke muislam biblia inasemaje hapo ?Nimeona kuna mahali umeunga mkono hadi mahusiano ya "sogea tuishi" kwani biblia inasemaje kuhusu sex
Meditation lazima iwe na object, na kama huwa una meditate kwa empty your soul upo kwenye hatari ya kuwa attacked spiritual.. meditate neno la Mungu hadi roho yako ipate mlo wake,Aiseee
Unacheza na mie eeh.. hapa gusa unate
Hehehe yaani unarudi tena kule kule
Nifaje sasaAtakufa 🤣🤣
Sasa mbona umeongelea watu wa dini na madhehebu tofauti tu kana kwamba ni hao tu ndiyo huwa na mahusiano ya aina hiyo wakati tunashuhudia vijana wengi wenye dini au madhehebu yanayofanana wanaishi pamoja kama mke na mume na wengine kuzaa kabisa ilihali hawajafunga ndoaSijatuma mtu akafanye hivyo. Nimeongelea kuna mahala ndoa hubarikiwa mfano ME ni Hindu na KE ni christian, hao hata kama wanaishi pamoja Mke humtaksa mume na ki biblia ipo hivyo, kuna mazingira mengi ya watu kuishi pamoja na badae hubarikiwa. Alafu watu tunavyotazamia dhambi ni tofauti sana, Mfano mie Mkristo na mke muislam biblia inasemaje hapo ?
1Korintho 7: 13 Na kama mwanamke mwamini ameolewa na mwanaume asiyeamini, na huyo mwanaume amekubali kuishi naye, basi huyo mwanamke asimpe talaka. 14 Kwa maana huyo mwanaume asiyeamini anatakaswa kwa ajili ya mkewe naye mwanamke asiyeamini anatakaswa kwa ajili ya mumewe anayeamini. Kama isingalikuwa hivyo watoto wao wangalikuwa si safi, lakini ilivyo sasa wao ni watakatifu.