Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wale wanaotumia Morogoro road mjipange na tochi kwenye hii super high way yetu. Nimekutana na jamaa wa tochi hapo baada ya St. Jospeh kabla ya Mbezi.
Hapo wataokotwa wengie sana.. maana watu wanajiachia vibaya.. na lengo lao kukusanya pesa hapo.. siku hizi nimeona wanategea maeneo ambayo ni lazima goti likunjuke.. uzuru hizi siku za karibuni wananibutua tochi ila mwendo wanao nikuta nao huwa wanachoka wenyewe.. nalipa 30, ile kiroho safi
 
Huko mbali ni kazi kazi tu, siku nikirudi bomu la atomic linahuska na hakuna kutoka yaani 🙂🙂🙂
Alaa basi kumbe kuvumilia mnaweza yaani kelele zote zile mie nikajua huwa unafanya kila siku kama chakula kumbe siku nyingine unakaa mwezi mzima bila bila na bado uko hai
 
Kula nakula, ila ukiweka chakula hapo na sex naanza sex ndio inafatia chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…