Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Chakula cha nafsi ni Neno [emoji3]Ukianza ugua chekelea, mnishtue .. huwa mnaanza cheka cheka wenyewe mkikosa mlo wa nafsi
Je ni wote wanafanya hivyo?Nawafahamu.
Nina marafiki wengi na ndugu wapo kwenye huo mrengo.
Nimesoma shule zao.
Wanapelekeana moto kuliko nyie wa mitaani.
Neno ni chakula cha rohoni weweeee
Roho, Nafsi na Mwili. Wewe ni roho una nafsi na unaishi ndani ya mwili
Kama naishi ndani ya mwili basi nafsi pia inakula chakula,roho inakula Neno.Roho, Nafsi na Mwili. Wewe ni roho una nafsi na unaishi ndani ya mwili
Nafsi ni kama pipe tu, ichukue taarifa rohoni au ichukua taarifa za dunianiKama naishi ndani ya mwili basi nafsi pia inakula chakula,roho inakula Neno.
Sent using Jamii Forums mobile app
KumbeNafsi ni kama pipe tu, ichukue taarifa rohoni au ichukua taarifa za duniani
wee badooo ndio maana
Hahaha...nilidhani ni mimi peke yangu nimehisi hivyo...Duuh jukwaani Kama Kuna kauvamizi fulani hivi
Holy man na Saint annie hawataki kunyamaza 💃Duuh jukwaani Kama Kuna kauvamizi fulani hivi
Wote tuliovuruga tupewe kesi ya ugaidi wa uzi[emoji40][emoji40]Holy man na Saint annie hawataki kunyamaza [emoji126]
Ila samahani sana wapendwa. Maana tumevuruga kama page 3+ [emoji120]
Tutumieni petrol lita 5 kwa kila mmoja wetu, msamaha upite...Wote tuliovuruga tupewe kesi ya ugaidi wa uzi[emoji40][emoji40]
Ila mimi tangu jana niliomba radhi,tatizo wadau mliendelea kunishawishi.
Samahani wadau wote tuliowakwaza[emoji120][emoji120],nipo chini ya miguu yenu kwa niaba ya wavamizi na maharamia watekaji wa uzi,mtusamehe bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa wakikuamulia unaweza ukatamani kurudi nyumbani ulaleKuna siku washaniharibia safari,ile naanza wenge tu hawa hapa,nikajisemea hapa hapa dar naanza na mambo ya kuandikiwa vyeti,kufika misugusugu pambavu wengine tena wanakuonyeshea na picha kabisa ya speed yako waliotumiwa na mshashi anaepiga tochi,nikaona isiwe tabu ikabidi niwe mdogo tu safari yote,maana wanaweza kukufilisi wale jamaa
Mtagonga wapita njia nyinyi! Kuna sista mmoja namfahamu mume wake kagongwa hapo wiki kama mbili zilizopita! Ilikuwa usikuKama upo mjini una hamu ya kumaliza kisahani nenda kibaha pale mizani ya zamani, njia 3 zinapoanzia kurudi mjini. Wamezifungua zote.
Kitu mserereko usio na kifani. Nimepita hapo sahivi.
Ila upite usiku wakiwa wameshalala.