Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

mkuu hofu yangu ni kwene reliability na je inahitaji ile extra care au unaeza kuburuza kama toyota?
Maana nataka kuchange from toyota baada ya wezi kunitenda taa, side mirror, power window, dashboard, control box etc

View attachment 1873884
Pole Sana kwa hayo yaliyokukuta......Hao watu ni maadui wakubwa wa maendeleo
 
Duh! Ali rest in peace au alipona?

Mi nilim'bamiza bodaboda kwenye mataa ya mwanamboka mbele traffic aisee.
Kuna boda boda, alijikwaruza kwenye gari yangu, aka mind kanivia mbele akaipiga side mirror kwa nguvu, akaongeza speed alivyo mjinga, nikamtia push moja sana chalii, alafu nikasepa zangu.. hawana akili wake
 
Hii chuma huwezi pakia mtu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…