RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
- Thread starter
- #8,301
Eti
Dar -Tanga
Dar -Tabora
Wapi mbali?
Hivi kutoka Dar kwenda Tanga hampiti Dodoma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti
Dar -Tanga
Dar -Tabora
Wapi mbali?
Hivi kutoka Dar kwenda Tanga hampiti Dodoma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanga ni mbele kidogo ya Bagamoyo 😂😂Eti
Dar -Tanga
Dar -Tabora
Wapi mbali?
Hivi kutoka Dar kwenda Tanga hampiti Dodoma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tanga ni mbele kidogo ya Bagamoyo [emoji23][emoji23]
Kumbe!Tabora ndiyo mbali
No Tanga hampiti Dodoma yaani mkoa pekee unaoupita from Dar to Tanga ni Pwani tu
Hata Morogoro yenyewe hauipiti unaiacha mbali sana
Yeah tukitokea Dodoma Tanga ndiyo mbali kidogoKumbe!
Kuna mtu nilidhani amenipiga kamba.
Aliniambia Dar -Tabora ni mbali kuliko Dar -Tanga.
Ila kutoka Dom-Tanga ni mbali kuliko Dom -Tabora si ndiyo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemkumbuka yule jamaa aliye kanyaga kanyaga mwizi kwa gari yakemkuu hofu yangu ni kwene reliability na je inahitaji ile extra care au unaeza kuburuza kama toyota?
Maana nataka kuchange from toyota baada ya wezi kunitenda taa, side mirror, power window, dashboard, control box etc
View attachment 1873884
Trip za kibabe hizi... za uchumi wa katiwewe kama mm kabisa. kama naelekea zangu moshi arusha nikitoka dar safari naianzia pale shell TOTAL .Kama unatoka Dar; ukitoka round about bagamoyo ipo upande wa kushoto. Ile shell imesimama kinoma. najaza cha mwarabu pale naanza safari nikifika njia panda pale napaki napiga beer mbili naanza kutafuta wami. sina haraka.
Hongera mkuu. Ila V8 lina mlio mtamu aiseeNimefika 30minutes ago. From Bagamoyo kituo Msata kula kidogo drinks then straight to Tanga.
Amin mkuu. Ukifunga milango na vioo inakuwa kama upo dunia nyingine. Kelele za huko nje hazikuhusu, ni wewe na barabara tu.Tutafute hela mkuu. Hili dubwasha limenipa motivation nitajituma sana.
All the best Kaka na mungu atusimamieTutafute hela mkuu. Hili dubwasha limenipa motivation nitajituma sana.
Sio gari inavuma ndani, unafika masikio hoi.. mwili umechoka 😎Amin mkuu. Ukifunga milango na vioo inakuwa kama upo dunia nyingine. Kelele za huko nje hazikuhusu, ni wewe na barabara tu.
Plus huwazi sana mashimo na matuta, hutumii nguvu. Huchoki.
Si tunaenda hapo jumanne.. utapaona tu
Mzungu kawawekea google ya kazi gani aisee... hapo goohle ukiweka tu, Tanga to Momba unaona zinakuja km zake 😕😕Kumbe!
Kuna mtu nilidhani amenipiga kamba.
Aliniambia Dar -Tabora ni mbali kuliko Dar -Tanga.
Ila kutoka Dom-Tanga ni mbali kuliko Dom -Tabora si ndiyo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni kuongeza uzito kidogo kwenye Right Pedal on to the next Gear!😅Kibao kizuri kuliko vyote barabarani
View attachment 1865150
Kuna hobby halafu kuna uwezo wa kutimiza hobby zako! Kuna baadhi ya hobbies ni expensive 😅...Hasa hizi za travelling!Kama huna pesa huwezi ukasafiri,hilo lipo wazi .
Huwezi linganisha elfu moja ya bando na pesa ya nauli tu ya bus ama ya kunywa kahawa hapo cate hotel.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuwa tajiri it depends pia unasafiri in expense ya nani? You must have a budget for that right?Sio wote wanaosafiri ni matajiri
Dar - Tabora ni km 825Kumbe!
Kuna mtu nilidhani amenipiga kamba.
Aliniambia Dar -Tabora ni mbali kuliko Dar -Tanga.
Ila kutoka Dom-Tanga ni mbali kuliko Dom -Tabora si ndiyo??
Sent using Jamii Forums mobile app