Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Tabora ndiyo mbali

No Tanga hampiti Dodoma yaani mkoa pekee unaoupita from Dar to Tanga ni Pwani tu

Hata Morogoro yenyewe hauipiti unaiacha mbali sana
Kumbe!

Kuna mtu nilidhani amenipiga kamba.
Aliniambia Dar -Tabora ni mbali kuliko Dar -Tanga.

Ila kutoka Dom-Tanga ni mbali kuliko Dom -Tabora si ndiyo??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu hofu yangu ni kwene reliability na je inahitaji ile extra care au unaeza kuburuza kama toyota?
Maana nataka kuchange from toyota baada ya wezi kunitenda taa, side mirror, power window, dashboard, control box etc

View attachment 1873884
Nimemkumbuka yule jamaa aliye kanyaga kanyaga mwizi kwa gari yake
 
wewe kama mm kabisa. kama naelekea zangu moshi arusha nikitoka dar safari naianzia pale shell TOTAL .Kama unatoka Dar; ukitoka round about bagamoyo ipo upande wa kushoto. Ile shell imesimama kinoma. najaza cha mwarabu pale naanza safari nikifika njia panda pale napaki napiga beer mbili naanza kutafuta wami. sina haraka.
Trip za kibabe hizi... za uchumi wa kati
 
Kumbe!

Kuna mtu nilidhani amenipiga kamba.
Aliniambia Dar -Tabora ni mbali kuliko Dar -Tanga.

Ila kutoka Dom-Tanga ni mbali kuliko Dom -Tabora si ndiyo??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzungu kawawekea google ya kazi gani aisee... hapo goohle ukiweka tu, Tanga to Momba unaona zinakuja km zake 😕😕
 
Kama huna pesa huwezi ukasafiri,hilo lipo wazi .

Huwezi linganisha elfu moja ya bando na pesa ya nauli tu ya bus ama ya kunywa kahawa hapo cate hotel.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna hobby halafu kuna uwezo wa kutimiza hobby zako! Kuna baadhi ya hobbies ni expensive 😅...Hasa hizi za travelling!

Hobbies zinakuwa backed up na disposable income uliyo nayo ambayo unaweza kuielekeza huko! Ishu ni uchumi tu kama hauko stable utabakia unatamani tu.
 
Back
Top Bottom