Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Pamoja sana mrembo wangu wa pekee jf nzima[emoji76]...I hope ipo siku isiyo na jina tutakaa mahali tuwekane sawa!
Hahaaa hapo kwenye urembo nitoe tu mkuu wengine tuna sura za baba zetu jf kuna warembo hatari

I hope hii kuwekana sawa haitahusisha yale mambo ya kimasihara hahaaa maana daah kaka zetu ninyi hamchelewi

Pamoja sana mkuu
 
Heheheh ukisema wewe si mrembo ina maana macho yangu hayajatambua ule urembo wako na umbile lenye tashiwishi😻 nahisi utakuwa unamkufuru mungu dear! I have seen your beauty siwezi kukupamba bure tu!

Yatakayojiri itakuwa ni siri yetu mimi na wewe ila ni mambo ambayo yanahusisha uwepo wa roho mtakatifu so wala usijali.
 
Matusi sana kale ka gari
Nimeangalia DSG is the most advanced auto transmission!

Ina dual clutch moja kwa ajili ya even gears na moja kwa ajili ya odd gears! Inachagua gear directly kulingana na speed ya engine wazee wa kubutua RPM ndipo mnapopaa hapo.

Hizi gearbox zetu za Automatic zina clutch moja hivyo unaanza gear moja mpaka uzimalize in sequence hauruki gear!😅
 
Pia Scirocco Ina uwezo mkubwa wa manourve kwenye drift na take off kubwa.
 
Amin mkuu. Ukifunga milango na vioo inakuwa kama upo dunia nyingine. Kelele za huko nje hazikuhusu, ni wewe na barabara tu.

Plus huwazi sana mashimo na matuta, hutumii nguvu. Huchoki.
Toyota kwenye Insulation anazitendeaga haki sana gari zake za high end market! Gari ikiwa mpya yani ni kimya husikii kitu yani very silent ndani kama uko kwenye ofisi 😅 ila lile V8 ipo siku moja tu!

Sipati picha ndio unaipata kitu piruuu ina chaki chaki kwenye vioo tu! Power ipo penyewe
 
Kwenye kioo unakuta maandishi

Mv Neptune Ace.
TZA-DSM.
31/07/2021.
Agent Name
 
Back
Top Bottom