Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wamiliki mwenyewe watata bado wanataka kuuza starlet namba B kwa 4M
Nguvu ya soko itawafanya washushe tu, watake wasitake, la sivyo kadri muda unavyokwenda depreciation ya gari sokoni itazidi kudorora zaidi na zaidi na gari haitauzika kabisa!
Soko lina nguvu ya ajabu mnoo kuamua bei ya bidhaa.

Wajifunze kwenye majuto ya kiburi cha Magu kwenye sakata la ununuzi wa Korosho, hadi Jeshi lilisalimu amri mbele ya soko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…