Haina jinsi yaniHehehe na kwa itikadi zetu za bongo hizi kwa kweli ni kujenga kwanza tu mkuu
What a view!View attachment 1875412 road trips na ziendelee....
Sijapita hio njia zaidi ya miaka mitano sasaView attachment 1875384
MKAPA BRIDGE
Vyote ila Mdau ni social man anakutembeza kiwanja kwa kiwanja, Chocho kwa Chocho iwe mchana au usiku.Amrushe au amrushie namba muhimu?!
Leo siku ya gulio TangamanoLeo mji WA Tanga umechangamka balaa!
Nishatoka tanga saa 12:30 jioni pale mkwakwani stadium saa 5 kasoro niko dar,but wakati wa kwenda nilitumia masaa kama 6 au 7 sbb ilikua mchana wazee tochiEti
Dar -Tanga
Dar -Tabora
Wapi mbali?
Hivi kutoka Dar kwenda Tanga hampiti Dodoma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mda si mrefu kuanzia ijumaa au jumamosi, nasafari ya Manyara na karatu na ngorongoro, ila kama kuna mpwa hapo.. nitapita siku moja najua hatulali njaa.. wasafiri kafiri 😎😎Next time ukienda niambie nikupe connection ya jamaa yangu mtu poa Sana utachagua akurushe wapi unampa code.
Hawaelewi nini maana ya "kampani"Amrushe au amrushie namba muhimu?!
Hii imekuwa vita kubwa sana home, wanalalamika naishi kama ndege.. wamekomaa nijenge miaka na miaka.. kila nikiangalia nyumba ya ndoto yangu nakausha tu, hadi nipate hiyo pesa na ilo eneo ndio nitajenga nisipopata aisee watanisameheKujenga ni woga wa maisha.
Mie huwa napenda hotel kubwa, zenye migahawa ya kahawa 😀😀😀😀 company isiyo na maua mazuri yenye harufu ya uturi haijakamilika bado.. case closedVyote ila Mdau ni social man anakutembeza kiwanja kwa kiwanja, Chocho kwa Chocho iwe mchana au usiku.
Change your mind. Jenga kitu simple sio lazima uishi humo. Inaweza kukusaidia baadae.Hii imekuwa vita kubwa sana home, wanalalamika naishi kama ndege.. wamekomaa nijenge miaka na miaka.. kila nikiangalia nyumba ya ndoto yangu nakausha tu, hadi nipate hiyo pesa na ilo eneo ndio nitajenga nisipopata aisee watanisamehe
Nitajirubu kujenga. kabandaChange your mind. Jenga kitu simple sio lazima uishi humo. Inaweza kukusaidia baadae.
Sina uzoefu wa gari za turbo, engine oil ipi nzuri unaweza recomend kwa gari za turbo ? hasa za ulaya, kuna wanao sema ni vizuri kutumia 5w 30 kwasababu ni nyembamba haiwezi ziba kwenye turbo, na wengine wanasema 15 w 40 kwakua mazingira yetu yana joto. kwa uzoefu wako ipi inafaaChange your mind. Jenga kitu simple sio lazima uishi humo. Inaweza kukusaidia baadae.
Ni kweli kuna umri ukifika inabidi mtu ujitahidi uwe umejenga walau nyumba ya kawaidaHii imekuwa vita kubwa sana home, wanalalamika naishi kama ndege.. wamekomaa nijenge miaka na miaka.. kila nikiangalia nyumba ya ndoto yangu nakausha tu, hadi nipate hiyo pesa na ilo eneo ndio nitajenga nisipopata aisee watanisamehe