Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

IMG_20210731_165708.jpg
road trips na ziendelee....
 
Hii imekuwa vita kubwa sana home, wanalalamika naishi kama ndege.. wamekomaa nijenge miaka na miaka.. kila nikiangalia nyumba ya ndoto yangu nakausha tu, hadi nipate hiyo pesa na ilo eneo ndio nitajenga nisipopata aisee watanisamehe
Change your mind. Jenga kitu simple sio lazima uishi humo. Inaweza kukusaidia baadae.
 
Change your mind. Jenga kitu simple sio lazima uishi humo. Inaweza kukusaidia baadae.
Sina uzoefu wa gari za turbo, engine oil ipi nzuri unaweza recomend kwa gari za turbo ? hasa za ulaya, kuna wanao sema ni vizuri kutumia 5w 30 kwasababu ni nyembamba haiwezi ziba kwenye turbo, na wengine wanasema 15 w 40 kwakua mazingira yetu yana joto. kwa uzoefu wako ipi inafaa
 
Hii imekuwa vita kubwa sana home, wanalalamika naishi kama ndege.. wamekomaa nijenge miaka na miaka.. kila nikiangalia nyumba ya ndoto yangu nakausha tu, hadi nipate hiyo pesa na ilo eneo ndio nitajenga nisipopata aisee watanisamehe
Ni kweli kuna umri ukifika inabidi mtu ujitahidi uwe umejenga walau nyumba ya kawaida

Ila siyo kwa pressure za ndugu na jamaa

Imagine mtu unashawishiwa ujenge eti sijui ili ukifa usije kutia aibu hata hawajui mtu ako na malengo gani
 
Back
Top Bottom