Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Japo sijaulizwa mimi ila naomba nijibu tuu.

Vile napenda kula, hasa nuts..

Korosho hainikifu ntatafuna mfuko mzima nashushia na maji ya machungwa.

Ikikupendeza tafadhali njoo na kilo 5 hata ikiwa kwa kuzinunua ila iwe za bei ya uchumi wa kati tafadhali😅😅.

Ikiwa mbichi itafaa zaidi nizikaange na kuzioka mwenyewe 😋😋😋.

I Love Eating, Kasie Mahaba Matata.
Mbichi kuzipata ngumu but kg 1 au 2 I can manage, destination Lushoto Mjini
 
Enjoy the view [emoji110]
IMG_20210801_181342_530.jpg
 
Mmmmh na mlivyonirithi ubishi, kama nawaona mlivyobishana hadi mkachoka kutype khaaa. Miss you swts[emoji8][emoji8][emoji8]
Kumbe anaendelea mbele zaidi!
Basi huyo ni tajiri.


Jamaa alisema unaweza kusafiri nchi moja hadi nyingine pasi na kuwa na hela,, nikatoa huo mfano.

Huwezi toka DSM hadi Kenya au Malawi bila hela,unafikaje?
Labda kwa lift.


Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh kazi kweli kweli TZ11 maana yake miguu mama

Halafu hauwezi kujiita tajiri kwa kuwa eti una elfu kumi na mwingine hana yaani utajiri haujawahi kupimwa kwa njia hiyo hata siku moja

Yaani ni sawa uwaweke vilema wawili mmoja hana miguu tu na mwingine hana miguu na mikono halafu uanze kumuambia yule ambaye hana miguu tu kuwa yeye siyo kilema eti kwa kuwa kuna mwingine hana miguu na mikono kabisa

Hapo wote ni vilema ila wamezidiana tu ukilema na iko hivyo hata kwenye umasikini yaani mtu ambaye hana kabisa pesa na yule ambaye pesa za kutatua shida mbali mbali anazipata kwa kuungaunga wote ni masikini sema tu wamezidiana viwango maana hata matajiri wenyewe wamezidiana viwango

Mtu kuishi chini ya USD 1 kwa siku haimaanishi kuwa hiyo pesa ni kubwa kiasi cha kusema eti mtu anayeweza kupata zaidi ya hiyo (hata kama ni kwa kuungaunga) basi tayari ni tajiri

Wewe kwa vile siyo hobby yako wala starehe yako ndiyo maana unaongea hivyo ila jiulize hata wale ambao starehe yao kubwa ni pombe au wanawake unakuta kula yake tu ni ya shida na anapata hela kwa kuungaunga ila kila hela anayopata anaenda kuunguza maini au anahonga tu wanawake lakini ni masikini apeche alolo

Sasa kuhusu huyo jamaa ukisema alikuwa anatafuta sifa utakuwa unatoka nje ya mada maana kutafuta sifa ni jambo moja na kuweza kufanya kile kitendo ni jambo jingine yaani cha msingi hapa ni kwamba aliweza kutembea na kukamilisha safari yake KWA MIGUU BILA KUTUMIA USAFIRI WOWOTE hayo mengine ya alifanyajefanyaje wala hata hayahusiani
Ikishakuwa kufanya kwa sifa tayari hiyo siyo hobby..na Mimi naongelea kusafiri kama hobby.

Ukweli unabaki kusafiri kwa hobby kunaambatana na hela.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unataka kuniambia hao wote wanaoishi chini ya hiyo poverty line wote hawajawahi kabisa kusafiri hata toka wilaya moja hadi nyingine au mkoa mmoja hadi mwingine (hata kwa miguu) tangia wanazaliwa hadi wanakufa
 
Mmmmh na mlivyonirithi ubishi, kama nawaona mlivyobishana hadi mkachoka kutype khaaa. Miss you swts[emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji7][emoji7][emoji7]
Tumekumiss pia Sana[emoji120].
Usipotee sana,huku jf dunia inazunguka Sana.

Tukachatie kule chitchat kilinge Cha Mshana.

Huku majadiliano yalikuwa mengi hadi tuliharibu uzi wa watu[emoji38]
 
Back
Top Bottom