Premij canoon
JF-Expert Member
- May 27, 2018
- 1,203
- 2,771
Mzee double (R) hata ka pic basii tusafishe macho [emoji38]Wakuu tutafute pesa......sio kwa heshima na attention hii!
Pesa jawabu la mambo yote 😀 😀Wakuu tutafute pesa......sio kwa heshima na attention hii!
Ukiwa na vieitee kila ukipita unapewa heshima na attention kubwa.
Mbichi kuzipata ngumu but kg 1 au 2 I can manage, destination Lushoto MjiniJapo sijaulizwa mimi ila naomba nijibu tuu.
Vile napenda kula, hasa nuts..
Korosho hainikifu ntatafuna mfuko mzima nashushia na maji ya machungwa.
Ikikupendeza tafadhali njoo na kilo 5 hata ikiwa kwa kuzinunua ila iwe za bei ya uchumi wa kati tafadhali😅😅.
Ikiwa mbichi itafaa zaidi nizikaange na kuzioka mwenyewe 😋😋😋.
I Love Eating, Kasie Mahaba Matata.
💪💪💪 Hongera na safi kuliko mkuu......natumai ulimaliza 25kms salama......Hali ya uchumi imenifanya ushiriki wangu kwenye hayo makitu kuwa adimu
HakikaWakuu tutafute pesa......sio kwa heshima na attention hii!
Sio kila siku unanyoosha goti. kuna baadhi ya siku lazima unaonja mazingira tofauti tofauti. unaweza kufka sehemu ukapiga kinywaji na wanakijiji ukaamsha. una fika tena sehemu nyingine unachmewa nyama kabisa bia mbili unaamsha.Safari za vituo vingi si inachosha sana?
Vitu vya kawaida hivyo mm nisipokunywa siwezi kufika safari yangu. lazima kuwe na whiskey na crate ya beer nyuma. Beer laini kama heineken au windhoek. na nyama choma au kuku choma. mziki kama kawaida pupwe la kutosha. mamabo ya vumbi nawaachia waendesha FIATUnawezaje kuonja na kuendesha?
Mbichi kuzipata ngumu but kg 1 au 2 I can manage, destination Lushoto Mjini
Zinafika Daslam kabla ya saa 10 jioni nichekiAppreciated 🙏🙏🙏.
Itayopatikana ntapokea hata gram 250 😋😋.
Kabla ya Lushoto si unapita Dar? Maana korosho zikienda Lushoto ndo ntakuwa nshazikosa...😔.
Zinafika Daslam kabla ya saa 10 jioni nicheki
duuuuh mwangalie sasa uyo alie fanya huo msala sijui hata una mfanyajeHuyu mwamba aliyevua shati kapewa gari aioshe baada ya kuosha jamaa kapiga Road trip kitaa kakutana na moto, nasikia nearby BOT Dom... Hawa jamaa muda mwingine ni wavuta bangi
View attachment 1877024
Haziwezi kuisha,mtembezi hula miguu yake.Mkuu trip za posta zimeishaaa 😀 😀..
Kumbe anaendelea mbele zaidi!
Basi huyo ni tajiri.
Jamaa alisema unaweza kusafiri nchi moja hadi nyingine pasi na kuwa na hela,, nikatoa huo mfano.
Huwezi toka DSM hadi Kenya au Malawi bila hela,unafikaje?
Labda kwa lift.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh kazi kweli kweli TZ11 maana yake miguu mama
Halafu hauwezi kujiita tajiri kwa kuwa eti una elfu kumi na mwingine hana yaani utajiri haujawahi kupimwa kwa njia hiyo hata siku moja
Yaani ni sawa uwaweke vilema wawili mmoja hana miguu tu na mwingine hana miguu na mikono halafu uanze kumuambia yule ambaye hana miguu tu kuwa yeye siyo kilema eti kwa kuwa kuna mwingine hana miguu na mikono kabisa
Hapo wote ni vilema ila wamezidiana tu ukilema na iko hivyo hata kwenye umasikini yaani mtu ambaye hana kabisa pesa na yule ambaye pesa za kutatua shida mbali mbali anazipata kwa kuungaunga wote ni masikini sema tu wamezidiana viwango maana hata matajiri wenyewe wamezidiana viwango
Mtu kuishi chini ya USD 1 kwa siku haimaanishi kuwa hiyo pesa ni kubwa kiasi cha kusema eti mtu anayeweza kupata zaidi ya hiyo (hata kama ni kwa kuungaunga) basi tayari ni tajiri
Wewe kwa vile siyo hobby yako wala starehe yako ndiyo maana unaongea hivyo ila jiulize hata wale ambao starehe yao kubwa ni pombe au wanawake unakuta kula yake tu ni ya shida na anapata hela kwa kuungaunga ila kila hela anayopata anaenda kuunguza maini au anahonga tu wanawake lakini ni masikini apeche alolo
Sasa kuhusu huyo jamaa ukisema alikuwa anatafuta sifa utakuwa unatoka nje ya mada maana kutafuta sifa ni jambo moja na kuweza kufanya kile kitendo ni jambo jingine yaani cha msingi hapa ni kwamba aliweza kutembea na kukamilisha safari yake KWA MIGUU BILA KUTUMIA USAFIRI WOWOTE hayo mengine ya alifanyajefanyaje wala hata hayahusiani
Ikishakuwa kufanya kwa sifa tayari hiyo siyo hobby..na Mimi naongelea kusafiri kama hobby.
Ukweli unabaki kusafiri kwa hobby kunaambatana na hela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unataka kuniambia hao wote wanaoishi chini ya hiyo poverty line wote hawajawahi kabisa kusafiri hata toka wilaya moja hadi nyingine au mkoa mmoja hadi mwingine (hata kwa miguu) tangia wanazaliwa hadi wanakufa
[emoji7][emoji7][emoji7]Mmmmh na mlivyonirithi ubishi, kama nawaona mlivyobishana hadi mkachoka kutype khaaa. Miss you swts[emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mmmmh na mlivyonirithi ubishi, kama nawaona mlivyobishana hadi mkachoka kutype khaaa. Miss you swts[emoji8][emoji8][emoji8]