Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Watu wangu wa nguvu wa Road trip, soon naanza sambaza vilainishi ( engine oil, na gear box oil ). Nipo kwenye hatua za mwisho mwisho saana, ningependa maoni ya wadau juu ya brand ambazo zinginezo bora , kazi iendeleee
Wish you the best mkuu. Personally natumia Atlantic synthech ... wanadai ni pure synthetic oil sema ndio hatuna namna ya kuprove hawa waarabu
 
Joto la nchi halina uhusiano na joto la injini kwa upande wa oil. Yani njombe waweke oil tofauti na Dar? Tumia oil iliyoandikwa kwene service manual ya gari.
 
ISO M.CodD nimeingia kwenye hotel moja mda huu, nimekuta na gari kama yako.. ni wewe au 🙂🙂
Humu humu Dar es Salaam.. nimekuta Fuga moja nyeusi inang'aa kama ya jamaa yetu.. mwanzonim tu wa parking ukiingia, mala moja moja tunapiga trip za ndani ya dar 🙂 🙂 🙂.
La kwangu limepigika pigika mkuu... fuga iliyochoka mji mzima! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu mwamba aliyevua shati kapewa gari aioshe baada ya kuosha jamaa kapiga Road trip kitaa kakutana na moto, nasikia nearby BOT Dom... Hawa jamaa muda mwingine ni wavuta bangi

View attachment 1877024
Siwaachiagi funguo ya gari hao waosha magari. Hata kusogeza nasogeza mwenyewe. Risk nyingine za kipuuzi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…