Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mafuta yanazidi kupanda.
IMG_20210803_160523.jpg
IMG_20210803_160525.jpg
IMG_20210803_160528.jpg

View attachment 1878742
 
Morogoro naonaga sijasafiri bado, sisimami kokote [emoji23]
Hapo morogoro huwa kituo changu cha kwanza, nachapa kahawa nakutulia tulia, dodoma huwa kituo cha pilis pale Kahawa Cafe dodoma, kama naenda mwanza, kituo kinachofatia Regacy hotel singida.. huwa nikitoka hapo nanyooka hadi mwanza, au tabora au geita
 
Back
Top Bottom