IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,343
Safi!
Umeona ulikaa kribu na dere?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi!
Huwa sipendi kucheza mbali na dereva..kuna raha kukaa karibu na dereva.Safi!
Umeona ulikaa kribu na dere?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa holyman next time kama nikiwa singida nichecki. kwa pale singida mjini kama unafika kwa regency hoel ni jirani yangu na KBH wote ni jamaa zangu na nimajirani unatembea tu dakika tano pale ziwani unafika homeHapo morogoro huwa kituo changu cha kwanza, nachapa kahawa nakutulia tulia, dodoma huwa kituo cha pilis pale Kahawa Cafe dodoma, kama naenda mwanza, kituo kinachofatia Regacy hotel singida.. huwa nikitoka hapo nanyooka hadi mwanza, au tabora au geita
KBH napajua vizuri sana mkuu.. Mwanzo kipindi machine ya kahawa nzima, nilikuwa napenda ipigia pale.. Nilikuwa napenda kwenda kula mbuzi pale rwezaula.. kuna kazi nakuja fanya hapo wiki kama mbili na itachukua mwaka mzimaSasa holyman next time kama nikiwa singida nichecki. kwa pale singida mjini kama unafika kwa regency hoel ni jirani yangu na KBH wote ni jamaa zangu na nimajirani unatembea tu dakika tano pale ziwani unafika home
Wazuri hao na wanapenda hao, kuna katoto kamoja kalikuwa kana itwa ka antonia kama kanyarwanda kalinifanyaga kila asubuhi naamkia pale kupiga mushroom soup kama ka nyarwanda flani hivi kalichanya damu kale mnyaturu na mnywarwanda ni shidaaa 😎 😎Yap unapumzika counter pale ukitazama watoto wa kinyatu wanavyorukaruka kwa swimming[emoji23][emoji23]
Kwa hiyo uliangalia tu ama....Wazuri hao na wanapenda hao, kuna katoto kamoja kalikuwa kana itwa ka antonia kama kanyarwanda kalinifanyaga kila asubuhi naamkia pale kupiga mushroom soup kama ka nyarwanda flani hivi kalichanya damu kale mnyaturu na mnywarwanda ni shidaaa 😎 😎
hiyo sawa m hata ukitoa fine, sio tochi ya kwenye 60Leo nimepigwa tochi 146 kwenye hizi 50 za maporini [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unafaidi vitu vingi, kwanza unafaidi dereva akipangua gia na huku unafaidi madhali ya jijiHuwa sipendi kucheza mbali na dereva..kuna raha kukaa karibu na dereva.
Halafu nataka nilione jiji vizuri,si unajua watu wa mkoani tuna ushamba mwingi, tunashangaa hadi mwendo kasi na fly-over[emoji4]
Napenda sana kumuona dereva anavyoendesha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unafaidi vitu vingi, kwanza unafaidi dereva akipangua gia na huku unafaidi madhali ya jiji
Duh hapa ni Bongo?Napenda sana kumuona dereva anavyoendesha.
Najisikia raha,hapo tukipiga stori mbili tatu basi route inakuwa fupi hata kama kuna foleni.
Naliona jiji vizuuuri jinsi lilivyobadilika kama nipo ulaya huko.
Nafurahi kuona ubungo hapana foleni tena,kuna mwaka nilichelewa bus hivihivi kwa sababu ya mataa na foleni hapa.
Halafu Kuna kima wanasema"Magufuli hakufanya kitu"View attachment 1880020
Kweli umeuliza au unanitania?Duh hapa ni Bongo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Achana nao hao, wazee wa boko haram..Napenda sana kumuona dereva anavyoendesha.
Najisikia raha,hapo tukipiga stori mbili tatu basi route inakuwa fupi hata kama kuna foleni.
Naliona jiji vizuuuri jinsi lilivyobadilika kama nipo ulaya huko.
Nafurahi kuona ubungo hapana foleni tena,kuna mwaka nilichelewa bus hivihivi kwa sababu ya mataa na foleni hapa.
Halafu Kuna kima wanasema"Magufuli hakufanya kitu"View attachment 1880020
Ya zamani bei ilikuwa humohumo.Wazee kumbe hii Landcruiser 300 series siyo bei ya kuyisha sana ni dola 70 hadi 85 elfu kabla ya kodi na usafiri! View attachment 1879878
Sasa lile la mkurugenzi la milioni 400 ilikuwaje?Ya zamani bei ilikuwa humohumo.
itakuwa VXR maana hata series 300 VXR bei yake inaenda hapo kwenye 400Sasa lile la mkurugenzi la milioni 400 ilikuwaje?
Duh.. Hivi hilo VXR kodi itakuwa bei gani?itakuwa VXR maana hata series 300 VXR bei yake inaenda hapo kwenye 400
[emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Achana nao hao, wazee wa boko haram..
Ila tusiwajadili hapa tutaharibu uzi
Duh.. Hivi hilo VXR kodi itakuwa bei gani?