Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Duh.. Hivi hilo VXR kodi itakuwa bei gani?
Screenshot (14).png
 
Njia ipi hiyo?
Mbeya to Dar... mitaa ya Sao hill huko. Hawa niliwatoa kitembo nikatembea. Nikapigwa tochi ya kizembe tena mitaa ya Ifunda niko 96, afande mmama akafosi kuandika so nadaiwa hapa. Ilula dogo mmoja kapaki kwenye IST akanifyatua na 72. Nikamkazia nikamwambia oya mshaniandikia mshaniharibia mahesabu hapa, mi mwanaume mwenzio nielewe. NIkamuacha na buku2 nikagonga gia.

Mi sielewi mnapendea nini kusafiri mchana. Hizo tochi zote ni ndani ya 200km. Traffic mkoa wa Iringa Mungu anawaona mlivyojaza mitochi.
 
Mchana tunasafiri wenye adabu zetu, wafuata alama za barabarani zote. Ukikurupuka wallet yako itatoboka! Vinginevyo uwe na V8 😛😛😛
 
Back
Top Bottom