Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mchana tunasafiri wenye adabu zetu, wafuata alama za barabarani zote. Ukikurupuka wallet yako itatoboka! Vinginevyo uwe na V8 😛😛😛
Hadhi ya ule mkeka haiendani na 50 na tochi zilizomo. Hawatutendei haki. Mkeka wa Iringa to Igawa nitahakikisha napita usiku tu.

Kuna V8 VXR moja STL nililikazia jana. Nililiona kwenye side mirror mitaa ya Wanging'ombe linataka kunipita, nikaona atanidharau huyu, nikakaza tako mpaka likapotea kwenye side mirror. Makambako nikiwa najaza wese likapita na zote nikaachana nalo.

Giza lilipoingia nikaanza kufunguka nikalikuta Chalinze. Akitoa natoa mpaka barabara ilipotulia nikaomba kulia nikaamsha. Ujasiri wa dereva una play part kubwa.

Ila V8 zina pulling aisee. Nimegundua torque yake sio ya mchezo. Tukiwa tunaovertake from low speed ana acceleration ya kutosha. Gari kibao nikiwa nyuma yao wakati wa kuovertake wananiwekea kiwingu, ila jana nyuma ya V8 tulikuwa tunatoka na kurudi chap kwa haraka.
 
We unasukuma nding aina gani
 
Hizo mashine balaa,ukikuta anaendesha mtu jasiri hutaona kapita wapi.
 
Sasa hiyo ni 380 hp.

Mzigo ungekuwa 500 hp ungefurahi na roho yako.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yule sifa nyingi boss! Ile ni njia ya kula vichwa vya wajinga

Hii industry ukijifanya don broker anakutia aibu, mwishowe unageuka mwana maigizo ili ule hela za newbies

so ile jaguar ya kukodi au yake ? Nacho jua alipata kitu kuwa kama partener wa kupeleka vichwa n]kwa broker flani ndio katengenezea pesa huko
 
Back
Top Bottom