Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadhi ya ule mkeka haiendani na 50 na tochi zilizomo. Hawatutendei haki. Mkeka wa Iringa to Igawa nitahakikisha napita usiku tu.Mchana tunasafiri wenye adabu zetu, wafuata alama za barabarani zote. Ukikurupuka wallet yako itatoboka! Vinginevyo uwe na V8 😛😛😛
Only milk comes in 2L [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ha ha ha Lita tatu na nusu sounds so small.....sema cc3500! 😀😀😀😀
We unasukuma nding aina ganiHadhi ya ule mkeka haiendani na 50 na tochi zilizomo. Hawatutendei haki. Mkeka wa Iringa to Igawa nitahakikisha napita usiku tu.
Kuna V8 VXR moja STL nililikazia jana. Nililiona kwenye side mirror mitaa ya Wanging'ombe linataka kunipita, nikaona atanidharau huyu, nikakaza tako mpaka likapotea kwenye side mirror. Makambako nikiwa najaza wese likapita na zote nikaachana nalo.
Giza lilipoingia nikaanza kufunguka nikalikuta Chalinze. Akitoa natoa mpaka barabara ilipotulia nikaomba kulia nikaamsha. Ujasiri wa dereva una play part kubwa.
Ila V8 zina pulling aisee. Nimegundua torque yake sio ya mchezo. Tukiwa tunaovertake from low speed ana acceleration ya kutosha. Gari kibao nikiwa nyuma yao wakati wa kuovertake wananiwekea kiwingu, ila jana nyuma ya V8 tulikuwa tunatoka na kurudi chap kwa haraka.
Hizo mashine balaa,ukikuta anaendesha mtu jasiri hutaona kapita wapi.Hadhi ya ule mkeka haiendani na 50 na tochi zilizomo. Hawatutendei haki. Mkeka wa Iringa to Igawa nitahakikisha napita usiku tu.
Kuna V8 VXR moja STL nililikazia jana. Nililiona kwenye side mirror mitaa ya Wanging'ombe linataka kunipita, nikaona atanidharau huyu, nikakaza tako mpaka likapotea kwenye side mirror. Makambako nikiwa najaza wese likapita na zote nikaachana nalo.
Giza lilipoingia nikaanza kufunguka nikalikuta Chalinze. Akitoa natoa mpaka barabara ilipotulia nikaomba kulia nikaamsha. Ujasiri wa dereva una play part kubwa.
Ila V8 zina pulling aisee. Nimegundua torque yake sio ya mchezo. Tukiwa tunaovertake from low speed ana acceleration ya kutosha. Gari kibao nikiwa nyuma yao wakati wa kuovertake wananiwekea kiwingu, ila jana nyuma ya V8 tulikuwa tunatoka na kurudi chap kwa haraka.
For sureHizo mashine balaa,ukikuta anaendesha mtu jasiri hutaona kapita wapi.
Wahaya wanaviita viteksi... vigari vya chini. Sema injini yake imeshiba kidogoWe unasukuma nding aina gani
Acha utundu ujue nimecheka mpk watu wamegeuka[emoji849]Kweli umeuliza au unanitania?
Ahsante sana kaka[emoji120]Pole sana mkuu
Nimelala sana KBH wana room bomba sana na bia pembeni paleSasa holyman next time kama nikiwa singida nichecki. kwa pale singida mjini kama unafika kwa regency hoel ni jirani yangu na KBH wote ni jamaa zangu na nimajirani unatembea tu dakika tano pale ziwani unafika home
😃😃😃Dah safi sana kama fisi vile na mzogaWazuri hao na wanapenda hao, kuna katoto kamoja kalikuwa kana itwa ka antonia kama kanyarwanda kalinifanyaga kila asubuhi naamkia pale kupiga mushroom soup kama ka nyarwanda flani hivi kalichanya damu kale mnyaturu na mnywarwanda ni shidaaa 😎 😎
Raha sana, Avg ya 90KPh sio mbaya, hapo nj nguvu tu ya kumudu na kumaintain bike speed kwa mamia ya Kms ndio shughuli ilipoA little less than an hour... bike huwa ni 90kmph average speed na kwasababu haina 50 wala sheria zozote always napata hiyo spidi. Consumption 30kmpl. Kananusa tu wese.
Kalio linauma mjomba uschukulie poa [emoji1787][emoji1787] bike ikiwa high speed inajiendea tu yenyewe in a straight line. Ishu ni wewe dereva, mwili wako unaweza kumudu?Raha sana, Avg ya 90KPh sio mbaya, hapo nj nguvu tu ya kumudu na kumaintain bike speed kwa mamia ya Kms ndio shughuli ilipo
Sasa hiyo ni 380 hp.Hadhi ya ule mkeka haiendani na 50 na tochi zilizomo. Hawatutendei haki. Mkeka wa Iringa to Igawa nitahakikisha napita usiku tu.
Kuna V8 VXR moja STL nililikazia jana. Nililiona kwenye side mirror mitaa ya Wanging'ombe linataka kunipita, nikaona atanidharau huyu, nikakaza tako mpaka likapotea kwenye side mirror. Makambako nikiwa najaza wese likapita na zote nikaachana nalo.
Giza lilipoingia nikaanza kufunguka nikalikuta Chalinze. Akitoa natoa mpaka barabara ilipotulia nikaomba kulia nikaamsha. Ujasiri wa dereva una play part kubwa.
Ila V8 zina pulling aisee. Nimegundua torque yake sio ya mchezo. Tukiwa tunaovertake from low speed ana acceleration ya kutosha. Gari kibao nikiwa nyuma yao wakati wa kuovertake wananiwekea kiwingu, ila jana nyuma ya V8 tulikuwa tunatoka na kurudi chap kwa haraka.
kila la kheri bossHilo hapo mkuu,
Nikipata hilo ntakuwa nmekamilisha nilichokijia hapa Duniani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1880264View attachment 1880265
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yule sifa nyingi boss! Ile ni njia ya kula vichwa vya wajinga
Hii industry ukijifanya don broker anakutia aibu, mwishowe unageuka mwana maigizo ili ule hela za newbies
😀 😀 😀 😀 Ka Singida kana raha yake😃😃😃Dah safi sana kama fisi vile na mzoga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mjini hapa bossso ile jaguar ya kukodi au yake ? Nacho jua alipata kitu kuwa kama partener wa kupeleka vichwa n]kwa broker flani ndio katengenezea pesa huko