๐๐๐Maskani ya Holy Man View attachment 1878295
Ulikuwa overconfident sio? 200 unaona kama 80 [emoji23]Duh mwendo niliotembea weekend hii Acha nikae kimya tu.
Morogoro naonaga sijasafiri bado, sisimami kokote [emoji23]Mimi pia aisee, itabidi nami siku moja niingie hapo nipate kahawa na view ya wanaopambana kuizomea lami [emoji23][emoji23] Binafsi nimezoea kunyoosha hadi Flomi ndio nipate supu, kunyoosha mgongo kidogo na kuendelea na safari
Ukiwa waenda Mbeya from Dar kituo chako cha kwanza huwa ni wapi?Morogoro naonaga sijasafiri bado, sisimami kokote [emoji23]
Doma kula nyama [emoji23]Ukiwa waenda Mbeya from Dar kituo chako cha kwanza huwa ni wapi?
Moro to Doma ni Kms ngapi? Wamasai wa Melela huwaamini [emoji23][emoji23]Doma kula nyama [emoji23]
Just seen around 80+ Kms, kwa ile bike yako ya kibabe huwa unachukua muda gani that distance? Moro - DomaMoro to Doma ni Kms ngapi? Wamasai wa Melela huwaamini [emoji23][emoji23]
Mama anaupiga mwingi sana!
Trip ziendelee,safi hapoMaskani ya Holy Man View attachment 1878295
na ndio fuga inayotesa gari nyingi huko barabaraniLa kwangu limepigika pigika mkuu... fuga iliyochoka mji mzima! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ni kutafuta kigari chenye cc 300, kina ramba tu wese
Ngorongoro cna ham napo ndio nimetinga dsm leo baada ya kugaragara mavumbini mbaya kbs!Mda si mrefu kuanzia ijumaa au jumamosi, nasafari ya Manyara na karatu na ngorongoro, ila kama kuna mpwa hapo.. nitapita siku moja najua hatulali njaa.. wasafiri kafiri ๐๐
Mkuu kwaniniNgorongoro cna ham napo ndio nimetinga dsm leo baada ya kugaragara mavumbini mbaya kbs!
Mwendo wa VIP ๐๐Duh mwendo niliotembea weekend hii Acha nikae kimya tu.
Hapo morogoro huwa kituo changu cha kwanza, nachapa kahawa nakutulia tulia, dodoma huwa kituo cha pilis pale Kahawa Cafe dodoma, kama naenda mwanza, kituo kinachofatia Regacy hotel singida.. huwa nikitoka hapo nanyooka hadi mwanza, au tabora au geitaMorogoro naonaga sijasafiri bado, sisimami kokote [emoji23]