Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
๐๐๐ ukivua samaki huwa una kwangua magamba ili achemshwe then anywewe kama soup.. huwezi muacha ufukweniUnaenda nae?
Mning'inize kwenye side mirror apate upepo.mkuu natoka samaki samaki sasa naenda morogoro mala moja.. nishavua samaki mnono ๐๐ hana mwiba ni minofu tu
Wakuda tutatega Chalinze tufanye Quality analysis ya samaki aliyevuliwa, tuko na rula mita Moja Ile ya mbao.๐๐๐ ukivua samaki huwa una kwangua magamba ili achemshwe then anywewe kama soup.. huwezi muacha ufukweni
Wakuda tutatega Chalinze tufanye Quality analysis ya samaki aliyevuliwa, tuko na rula mita Moja Ile ya mbao.
Na washanitapikia kwenye gari mara mbili, eti mwendo mkali wameshindwa kuvumiliaKupakia vichwa huwa kama ka utumwa, unakosa uhuru..
Niliwahi kuliongelea hili humu, hiyo siku nilitumia 11kmpl wakati natumiaga 8kmpl [emoji23][emoji23]raha ya kichwa kivae kimini cha chini ya magoti, kikae mbele pale kwa deree... hapo speed ni 50 t0 80kmh.. [emoji854][emoji854][emoji854][emoji854]
una macho makali aseee ๐๐๐Iyooo.. unaiona iyo!
Rangi ya mtume SAW.
Mimi hiyo rangi tu na hako kafrem kadogo tayari I am convinced.una macho makali aseee [emoji41][emoji41][emoji41]
kuna vichwa huwa ni shidaa sanaa ๐๐Na washanitapikia kwenye gari mara mbili, eti mwendo mkali wameshindwa kuvumilia
ungeiona yote ndio ukachenganyikiwa kabisa acha nimfiche tu ๐๐Mimi hiyo rangi tu na hako kafrem kadogo tayari I am convinced.
Yani imetosha sana mkuuungeiona yote ndio ukachenganyikiwa kabisa acha nimfiche tu [emoji41][emoji41]
HahaaaaaaAnzisha tu. Wateja wapo kina Holy Man
Duuuh pole Sana.Na washanitapikia kwenye gari mara mbili, eti mwendo mkali wameshindwa kuvumilia
Wakubwa mnafaidi
maisha ni kuchagua mkuu.. kila mtu ana faidi mzeeWakubwa mnafaidi
huyu hagusiki wala kukaribiwa, hiyo chuma bei yake kwanza sio ya kitotoKuna mwamba kashusha Golf 7 R
hiyo gari ni shida, kuna watu wataifanisha na oppa ๐๐๐Kidude kidogo chenye bei ya VX