Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichwa chako jumlisha chuma hiko kitakachotokea doh!Kuna rafiki yangu kaagiza VXR dubai, ipo njiani, kaniambia ikifika tu ananipa niitoe mafuta kwa safari ya dodoma.. watanikoma asee siku hiyo
Mie mwenyewe sipati picha aisee 😀😀😀Kichwa chako jumlisha chuma hiko kitakachotokea doh!
Duuuh!Kuna rafiki yangu kaagiza VXR dubai, ipo njiani, kaniambia ikifika tu ananipa niitoe mafuta kwa safari ya dodoma.. watanikoma asee siku hiyo
Wale wanaokula vichwa safari za mkoa, pamoja na vichwa wenyewe;
InterestingWazee wa Road Trips kwema?
Wale wanaokula vichwa safari za mkoa, pamoja na vichwa wenyewe;
Twenzao ni app inayowaunganisha madereva, wenye magari na wasafiri wanaoenda mwelekeo mmoja ndani ya Tz.
Kutokana na hali ilivyo kwa sasa, haina haja tena ya ku-risk usalama wako, afya yako kwa kujazana kwenye mabasi, kushindwa kufanya safari zako jinsi unavyotaka wewe, au kufarakana na madalali.
Utaweza kufahamiana na wasafiri wengine kabla ya safari, kujua tabia zao (mfano, wengine hawapendi kusafiri pamoja na wavutaji sigara), ku-negotiate nauli (Twenzao inapendekeza tu, kwa hiyo unaweza kupunguza au kuongeza kulingana na makubaliano yenu), ku-rate dereva na abiria mwisho wa safari, na walio tishio kwa usalama watakuwa blacklisted.
Pia, kuna option kwa wanawake walio comfortable zaidi kusafiri na wanawake wenzao (ladies only).
Unaweza kuipakua hapa.
Karibuni, Asanteni.
Maumivu.unashika kichwa kwa furaha au maumivu mkuu ?
Jini mla mafuta.Unashika kichwa kwa kushangaa good fuel economy ama ujini wa gari!
Hizo figures huwezi zipata under normal driving conditions.Wala haitishi
View attachment 1885868
Oh okay. Kwahio at 5000rpm ndio normal driving condition? Boss hio gari ina fuel consumption ya kawaida. Na Kwa taarifa yako hizo figure ni Kwa normal driving labda kwako ambapo normal driving ni 5000rpm.Hizo figures huwezi zipata under normal driving conditions.
Sijawahi kumiliki wala kuendesha.
Ila reviews nyingi zinawalalamikia Volvo kwa hiyo engine ilivyo.
At 5000 rpm unaweza pata mpaka 25l/100km.
OkayOh okay. Kwahio at 5000rpm ndio normal driving condition? Boss hio gari ina fuel consumption ya kawaida. Na Kwa taarifa yako hizo figure ni Kwa normal driving labda kwako ambapo normal driving ni 5000rpm.
Ukiwa na cash kubeba abiria ni usumbufu wanajifanya wamekukodiWazee wa Road Trips kwema?
Wale wanaokula vichwa safari za mkoa, pamoja na vichwa wenyewe;
Twenzao ni app inayowaunganisha madereva, wenye magari na wasafiri wanaoenda mwelekeo mmoja ndani ya Tz.
Kutokana na hali ilivyo kwa sasa, haina haja tena ya ku-risk usalama wako, afya yako kwa kujazana kwenye mabasi, kushindwa kufanya safari zako jinsi unavyotaka wewe, au kufarakana na madalali.
Utaweza kufahamiana na wasafiri wengine kabla ya safari, kujua tabia zao (mfano, wengine hawapendi kusafiri pamoja na wavutaji sigara), ku-negotiate nauli (Twenzao inapendekeza tu, kwa hiyo unaweza kupunguza au kuongeza kulingana na makubaliano yenu), ku-rate dereva na abiria mwisho wa safari, na walio tishio kwa usalama watakuwa blacklisted.
Pia, kuna option kwa wanawake walio comfortable zaidi kusafiri na wanawake wenzao (ladies only).
Unaweza kuipakua hapa.
Karibuni, Asanteni.
Kupakia vichwa huwa kama ka utumwa, unakosa uhuru..Wazee wa Road Trips kwema?

Na inabidi uwe mpole, umekula pesa yao aseeUkiwa na cash kubeba abiria ni usumbufu wanajifanya wamekukodi
[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiwa na cash kubeba abiria ni usumbufu wanajifanya wamekukodi
ni kweli, japo wapo wanaopenda company hata kama ni kichwa kimoja.Kupakia vichwa huwa kama ka utumwa, unakosa uhuru..
unampa 0 star rating abiria wa aina hiyo.Ukiwa na cash kubeba abiria ni usumbufu wanajifanya wamekukodi