Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Gari yangu cha kwanza huwa marufu kufungua vioo, na huwa zinakuwa full tinted kuanzia kioo cha mbele kwa kitu cha M3.Kwanini uwende speed ambayo unatingisha mpaka roho yangu nisiseme?
Uweke taarabu/ singeli nisikwambie ubadilishe nyimbo?
U park gari Kilimanjaro restaurant nisiseme? Wakati unajua pale chakula kawaida sana compared na bei zao
Tulipe hela na AC usiwashe? Yan utulishe vumbi na upepo bila wasi?
Hiiiiiii jamani
Mziki country, worship flani hivi
chakula hapo mtanifata tu kama hamtaki hamtokula.. hotel kubwa kidogo kidogo..
AC mda wote
😎😎😎