Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kwanini uwende speed ambayo unatingisha mpaka roho yangu nisiseme?

Uweke taarabu/ singeli nisikwambie ubadilishe nyimbo?

U park gari Kilimanjaro restaurant nisiseme? Wakati unajua pale chakula kawaida sana compared na bei zao

Tulipe hela na AC usiwashe? Yan utulishe vumbi na upepo bila wasi?

Hiiiiiii jamani
Gari yangu cha kwanza huwa marufu kufungua vioo, na huwa zinakuwa full tinted kuanzia kioo cha mbele kwa kitu cha M3.
Mziki country, worship flani hivi
chakula hapo mtanifata tu kama hamtaki hamtokula.. hotel kubwa kidogo kidogo..
AC mda wote

😎😎😎
 
Country music na worship songs tutaenda sawa.
Kalale na hiyo kwanza ' we should be together ya Don

Chakula nini? Basi niambie nibebe eet som more zangu kabisa na ceres.
 
Country music na worship songs tutaenda sawa.
Kalale na hiyo kwanza ' we should be together ya Don

Chakula nini? Basi niambie nibebe eet som more zangu kabisa na ceres.
Hahaaa hapo gari iwe manual kuna muda ukitaka kubadili gear unafanya makusudi unamshika paja halafu unasingizia umeikosa gear lever bahati mbaya
Hapo safiiii kabisa.. kuna boks kabisa la etisamumoo kwa ajiri yako na ubuyu wa pembaaa 🙂🙂🙂
😀😀😀😀 ila kwa wewe uliyezoea kukimbiza mashine utadhani accelerator imekandamizwa na tofali sidhani kama utavumilia 50 - 80 kph hata pembeni kungekuwa na mtoto mzuri kama malaika
Vijana mnanifundisha uhuni...
 
😀😀😀😀 ila kwa wewe uliyezoea kukimbiza mashine utadhani accelerator imekandamizwa na tofali sidhani kama utavumilia 50 - 80 kph hata pembeni kungekuwa na mtoto mzuri kama malaika
Sema nini ? mtoto mkali akiwa pembeni safari huwa tamu sanaaa.. vituo vinakuwa vingi mapicha picha ya kutosha.. maisha huwa matamu sanaaa.. 🙂 🙂
 
Back
Top Bottom