Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hadhi ya ule mkeka haiendani na 50 na tochi zilizomo. Hawatutendei haki. Mkeka wa Iringa to Igawa nitahakikisha napita usiku tu.

Kuna V8 VXR moja STL nililikazia jana. Nililiona kwenye side mirror mitaa ya Wanging'ombe linataka kunipita, nikaona atanidharau huyu, nikakaza tako mpaka likapotea kwenye side mirror. Makambako nikiwa najaza wese likapita na zote nikaachana nalo.

Giza lilipoingia nikaanza kufunguka nikalikuta Chalinze. Akitoa natoa mpaka barabara ilipotulia nikaomba kulia nikaamsha. Ujasiri wa dereva una play part kubwa.


Ila V8 zina pulling aisee. Nimegundua torque yake sio ya mchezo. Tukiwa tunaovertake from low speed ana acceleration ya kutosha. Gari kibao nikiwa nyuma yao wakati wa kuovertake wananiwekea kiwingu, ila jana nyuma ya V8 tulikuwa tunatoka na kurudi chap kwa haraka.

Kwenye pulling hizo V8 si mchezo. Ila hili Twin turbo V6 la sasa nalo moto wa kuotea mbali.
 
RRONDO bila kusahau hii kitu
Nzi

2021-mercedes-amg-gls-63.jpg
 
Back
Top Bottom