Wazee wa β€˜Road Trip’ mpo?

Wazee wa β€˜Road Trip’ mpo?

Ha ha! All Volvos from 2015 come in 2L

BH789082_40e595.jpg
 
Pale Misungwi napo wamezidi unoko,ila ttzo ni kwamba kwenye ule mgao wa camera nao walipewa sawa na wilaya zingine ilhali wao wana barabara moja pekee
Muhimu ni kuwa makini na ishara za madere wengine. huwa zinaniokoa sanaaa, trafiki wa ule ukanda ukikutana na mwenye roho mbaya shetani akajifunze upya asee...
 
European rides ndio zipo zipo na Japanese chache zilizolenga soko la Yuropa (high end motors), hizi za kivyetu vyetu sijaziobserve kwa uwingi huo aisee. Unaweza share vyuma uvitambuavyo vinavyofit soko letu?
unaweza bahatisha hata za Kijapani, ingawa ni chache mno. nilipata Probox lenye 1ND-TV (1.4L turbodiesel) beforward Japan, mwaka jana hiyo. lilikuwa na mileage 200k+ km ila hadi leo haina magonjwa ya ajabu ajabu pamoja na kuwa imetembea kweli, na kwa maintenance za kawaida tu (oil changes, matairi, vitu kama hivyo).

mengine niliyoyaona ni Toyota Urban Cruiser. ni iST ila ndo wanavyoibrand Uingereza, Toyota Corolla, Toyota Yaris (Vitz), kuna Nissan Micra (March kwa masoko mengine). ufahamu wangu ndipo unapoishia kwa za Kijapani.

sirudi tena upetrolini.
 
Back
Top Bottom