Boogman
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 2,439
- 5,612
Mzee wa ma capuccino!Ugonjwa wangu huu.. 🙂🙂🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa ma capuccino!Ugonjwa wangu huu.. 🙂🙂🙂
Kamji kanahamasisha hasa ucku mkuu!Mnanihamasisha kupita Singida.
Utafurahi.. ka mji flani ka raha yake.. uzuri kapo kati kati popote unafika harakaNitapitia siku moja
😀😀😀😀 Kuna siku nilikuwa na jamaaa yangu ya moja, tulitoka clubs pale rode saa nne asubuhi... usiku unatembea hata kwa miguu mda wowote .. sema weekend mala nyingi nilikuwa natoa kula kukua pale ikungiKamji kanahamasisha hasa ucku mkuu!
Napajua vizuri sana, sina, hapo ile njia kama unatokea kwenye ofisi za RCO pale kwa DC.. pembeni kidogo kuna kanisa la roma ?Holy Man Hapa unapajua mkuu?View attachment 1883693
Mkuu una niamsha hisia za Singida.. dah,Holy Man Hapa unapajua mkuu?View attachment 1883693
Hapo kushoto ni NBC bank na kulia ndo kanisa la romaNapajua vizuri sana, sina, hapo ile njia kama unatokea kwenye ofisi za RCO pale kwa DC.. pembeni kidogo kuna kanisa la roma ?
Twenzetu mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu una niamsha hisia za Singida.. dah,
Wapi hii?Mambo ya jmos mnada wa kititimo[emoji39]View attachment 1883691
Kwa juu kidogo Tanesco mkoa, na pembeni ile pub mpya wanapenda sana Nzi na mapoti 🙂🙂🙂Hapo kushoto ni NBC bank na kulia ndo kanisa la roma
Kuna mnada unaitwa kititimo upo njia ya kwenda arusha pale sgd mkuuWapi hii?
kitimoto kwa singida nilikuwa napenda kupigia kule masai kuna ka pub sijui kanaitwa vila jamaa wanajitahidi sana kuitengeza kiufundi.. alafu mbuzi utaho mnadani tunashusha mbuzi mnachoma mnakula hadi mnachoka na miedomo yenuKuna mnada unaitwa kititimo upo njia ya kwenda arusha pale sgd mkuu
Asante mkuu, vibao vinafuatwa kwa umakini sana.Uwe na safari njema bila kuacha kuzidisha uangalifu njiani
Mimi nimeona kibao pendwa tu.Asante mkuu, vibao vinafuatwa kwa umakini sana.View attachment 1883772View attachment 1883772View attachment 1883790
View attachment 1883789
Naona upo maeneo ya Mangaka......vibao ni muhimu haswa hivyo vyenye umbo la duaraAsante mkuu, vibao vinafuatwa kwa umakini sana.View attachment 1883772View attachment 1883772View attachment 1883790
View attachment 1883789
Unaweza kupatwa 😀😀😁na wazimu utakapokiona cha kumalizia wakati cha kuanzia hukukiona na huku upo kwenye cruising speed ya140kmphMimi nimeona kibao pendwa tu.
Hayo mambo ya Msata ~ Segera, muhimu sana kucheza na kibao cha upande wa pili pia. Ukiona upande wa pili kuna kibao cha duara af kwako kushoto hakipo tupia jicho, unakuta mwenzio ndio anaruhusiwa kuamsha sasa 50 imeisha wakati kwako hola he he he akili kumkichwa ukikaza fuvu umeliwa kichwaUnaweza kupatwa [emoji3][emoji3][emoji16]na wazimu utakapokiona cha kumalizia wakati cha kuanzia hukukiona na huku upo kwenye cruising speed ya140kmph