Boogman
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 2,439
- 5,612
[emoji23][emoji23]ntakupeleka na kwa tall pale NBCkitimoto kwa singida nilikuwa napenda kupigia kule masai kuna ka pub sijui kanaitwa vila jamaa wanajitahidi sana kuitengeza kiufundi.. alafu mbuzi utaho mnadani tunashusha mbuzi mnachoma mnakula hadi mnachoka na miedomo yenu