Ndio mzee,shy hakuna benzi mkuu.Kwani kuna mkoa hakuna Benz?
Kwahiyo shy town kwenyewe kuna nini? 😂Ndio mzee,shy hakuna benzi mkuu.
Maroli unaweza endeshaWajumbe habari za mchana.
Kijana mwenzenu nimekwama jmn kwa mwenye conection ya kazi ya udereva pls tuinuane.pia kama kuna gari ya hesabu au mkataba uber na boltb AC nnazo.natanguliza shukran
We sema kweli? Mbona yule jamaa hana ushamba hata robo ila kila siku linapata maji?Na kaushamba hua kanachangiz.
😁😁😁 daladala za baiskeli mkuu.Kwahiyo shy town kwenyewe kuna nini? 😂
Naweza endesha boss
😁😁 acha TX tu mkuu,unaweza kumiliki hata Boeing na still ukawa not classy.We sema kweli? Mbona yule jamaa hana ushamba hata robo ila kila siku linapata maji?
Sio ushamba ni usmart uliopitiliza, yan yule atoke TX yake haijakunywa maji? Hii labda anaumwa.
Ah nitakujungua mpaka utasogea kwenye mstari.😁😁 acha TX tu mkuu,unaweza kumiliki hata Boeing na still ukawa not classy.
We sema kweli? Mbona yule jamaa hana ushamba hata robo ila kila siku linapata maji?
Sio ushamba ni usmart uliopitiliza, yan yule atoke TX yake haijakunywa maji? Hii labda anaumwa.
Okay.....Ah nitakujungua mpaka utasogea kwenye mstari.
Hahaha dah! Au we ndiyo yule jamaa?Okay.....
Unanichokoza 😊😊😊
Hahahah yameisha mkuu.Ah nitakujungua mpaka utasogea kwenye mstari.
Unanichokoza 😊😊😊
Wapi huko? Na we ni mzee wa majungu?
Bila shaka. 😂