Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Watu wana ndiga huku. .... Gari ambazo sijaziona sana sana ni Rumion.

Nilikuwa dar asiee Rumion nyeusi zimejaaa, nina katabia nikiwa zangu kwenye hiace naangalia ndiga za watu. Hii ilifanya ninotice chap wingi wa Toyota rumion Daslam.

Ben ben sijawahi iona... Naionaga tu status kwa jamaa flani.
Ukiwa kwenye daladala utaishia kuona Rumion na wenzie Crown athlete. Bentley, Porsche, Ferrari, Aston Martin zipo Dar ila hazitembei sehemu zenye route za daladala!
NB: Mfano Mbezi beach chini,Masaki east coast hakuna route ya daladala
 
Watu wana ndiga huku. .... Gari ambazo sijaziona sana sana ni Rumion.

Nilikuwa dar asiee Rumion nyeusi zimejaaa, nina katabia nikiwa zangu kwenye hiace naangalia ndiga za watu. Hii ilifanya ninotice chap wingi wa Toyota rumion Daslam.

Ben ben sijawahi iona... Naionaga tu status kwa jamaa flani.
Mimi Kuna sehemu nipo aisee naona gari za kila aina na vyombo vya usafiri vya kila aina na hali za waendesha hayo magari.

Ila kuna watu wana gari nzuri hii tz.
 
Hio gari niliona the year imetoka tu kwenye foleni inayotokea Arusha Airport kule! Yani gari imekuwa announced September mwezi November iko Chuga mtu ana push! Bentyaga ya rangi ya chocolate nadhani kama si red wine ile![emoji28]
Rangi ya udongo ile.

Kuna muhindi aliivuta.

Hata benson amechanjiwa na benz. Anazipaki pale shop kwake kama hana akili nzuri.
 
Wazee wa Road Trips kwema?

Wale wanaokula vichwa safari za mkoa, pamoja na vichwa wenyewe;

Twenzao ni app inayowaunganisha madereva, wenye magari na wasafiri wanaoenda mwelekeo mmoja ndani ya Tz.

Kutokana na hali ilivyo kwa sasa, haina haja tena ya ku-risk usalama wako, afya yako kwa kujazana kwenye mabasi, kushindwa kufanya safari zako jinsi unavyotaka wewe, au kufarakana na madalali.

Utaweza kufahamiana na wasafiri wengine kabla ya safari, kujua tabia zao (mfano, wengine hawapendi kusafiri pamoja na wavutaji sigara), ku-negotiate nauli (Twenzao inapendekeza tu, kwa hiyo unaweza kupunguza au kuongeza kulingana na makubaliano yenu), ku-rate dereva na abiria mwisho wa safari, na walio tishio kwa usalama watakuwa blacklisted.

Pia, kuna option kwa wanawake walio comfortable zaidi kusafiri na wanawake wenzao (ladies only).

Unaweza kuipakua hapa.

Karibuni, Asanteni.
hii idea mzuri sana ila inabidi hamasa ili watu wajiunge maana mtu unasafiri mwenyewe siti 4 ziko wazi its not economical kabisa.
 
Back
Top Bottom