ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Kwani mimi nataka kufa? Kaa kwa kutulia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
ISO M.CodD
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mimi nataka kufa? Kaa kwa kutulia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
ISO M.CodD
Ukiwa kwenye daladala utaishia kuona Rumion na wenzie Crown athlete. Bentley, Porsche, Ferrari, Aston Martin zipo Dar ila hazitembei sehemu zenye route za daladala!Watu wana ndiga huku. .... Gari ambazo sijaziona sana sana ni Rumion.
Nilikuwa dar asiee Rumion nyeusi zimejaaa, nina katabia nikiwa zangu kwenye hiace naangalia ndiga za watu. Hii ilifanya ninotice chap wingi wa Toyota rumion Daslam.
Ben ben sijawahi iona... Naionaga tu status kwa jamaa flani.
Mimi Kuna sehemu nipo aisee naona gari za kila aina na vyombo vya usafiri vya kila aina na hali za waendesha hayo magari.Watu wana ndiga huku. .... Gari ambazo sijaziona sana sana ni Rumion.
Nilikuwa dar asiee Rumion nyeusi zimejaaa, nina katabia nikiwa zangu kwenye hiace naangalia ndiga za watu. Hii ilifanya ninotice chap wingi wa Toyota rumion Daslam.
Ben ben sijawahi iona... Naionaga tu status kwa jamaa flani.
[emoji23][emoji23]Kwani mimi nataka kufa? Kaa kwa kutulia
Kilugha sivyo? Hahaa[emoji23][emoji23]
Tufwileee
Rangi ya udongo ile.Hio gari niliona the year imetoka tu kwenye foleni inayotokea Arusha Airport kule! Yani gari imekuwa announced September mwezi November iko Chuga mtu ana push! Bentyaga ya rangi ya chocolate nadhani kama si red wine ile![emoji28]
Ndiyo[emoji38]Kilugha sivyo? Hahaa
Kwny wilaya zote za shy,kahama ndio Ina magari mazuri.Sasa huyo mshkaji wako ameacha c-class,E-class,S-,class,SLK,CLK n.k anakimbilia hayo magari ya kizamani kutafuta nini mzee?Hapana Kahama Range Rover, Bmw X5 watu wanazo, Kuna raia hawapendi show off kama Kiba.
hii idea mzuri sana ila inabidi hamasa ili watu wajiunge maana mtu unasafiri mwenyewe siti 4 ziko wazi its not economical kabisa.Wazee wa Road Trips kwema?
Wale wanaokula vichwa safari za mkoa, pamoja na vichwa wenyewe;
Twenzao ni app inayowaunganisha madereva, wenye magari na wasafiri wanaoenda mwelekeo mmoja ndani ya Tz.
Kutokana na hali ilivyo kwa sasa, haina haja tena ya ku-risk usalama wako, afya yako kwa kujazana kwenye mabasi, kushindwa kufanya safari zako jinsi unavyotaka wewe, au kufarakana na madalali.
Utaweza kufahamiana na wasafiri wengine kabla ya safari, kujua tabia zao (mfano, wengine hawapendi kusafiri pamoja na wavutaji sigara), ku-negotiate nauli (Twenzao inapendekeza tu, kwa hiyo unaweza kupunguza au kuongeza kulingana na makubaliano yenu), ku-rate dereva na abiria mwisho wa safari, na walio tishio kwa usalama watakuwa blacklisted.
Pia, kuna option kwa wanawake walio comfortable zaidi kusafiri na wanawake wenzao (ladies only).
Unaweza kuipakua hapa.
Karibuni, Asanteni.
Convenience na luxury mkuu...hii idea mzuri sana ila inabidi hamasa ili watu wajiunge maana mtu unasafiri mwenyewe siti 4 ziko wazi its not economical kabisa.
Mimi Kuna sehemu nipo aisee naona gari za kila aina na vyombo vya usafiri vya kila aina na hali za waendesha hayo magari.
Ila kuna watu wana gari nzuri hii tz.
Kuna watu ni hatari.Kama upanga kule kuna watoto wa kihindi wamefungia gari ndani kali hatari
soon mtasema na kuna baharia kwenye thread ya Wazee wa ‘Road Trip’ mpo? ana gari ya hatari.. sio msifie tu wa upanga na masaki asee... tunaelekea kushusha kitu kizito 🥸🥸🥸Kama upanga kule kuna watoto wa kihindi wamefungia gari ndani kali hatari
hapa trip inapendeza 😎😎Kama upanga kule kuna watoto wa kihindi wamefungia gari ndani kali hatari
Nina Baba yangu asiyeshindwa kamwe
😎😎😎 na mwendo wetu mdogo mdogo wa mama SamiaNimesmile 😍
Jamani jamani mziki mtamu kama huo, sound minimum yan isiwe ya kuzidi. Right seat hapo kuna baharia flani hivi katulia Holy Man 😂
Hizo worship songs nazifata.
soon mtasema na kuna baharia kwenye thread ya Wazee wa ‘Road Trip’ mpo? ana gari ya hatari.. sio msifie tu wa upanga na masaki asee... tunaelekea kushusha kitu kizito 🥸🥸🥸