Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ukiwa kwenye daladala utaishia kuona Rumion na wenzie Crown athlete. Bentley, Porsche, Ferrari, Aston Martin zipo Dar ila hazitembei sehemu zenye route za daladala!
NB: Mfano Mbezi beach chini,Masaki east coast hakuna route ya daladala
 
Mimi Kuna sehemu nipo aisee naona gari za kila aina na vyombo vya usafiri vya kila aina na hali za waendesha hayo magari.

Ila kuna watu wana gari nzuri hii tz.
 
Hio gari niliona the year imetoka tu kwenye foleni inayotokea Arusha Airport kule! Yani gari imekuwa announced September mwezi November iko Chuga mtu ana push! Bentyaga ya rangi ya chocolate nadhani kama si red wine ile![emoji28]
Rangi ya udongo ile.

Kuna muhindi aliivuta.

Hata benson amechanjiwa na benz. Anazipaki pale shop kwake kama hana akili nzuri.
 
hii idea mzuri sana ila inabidi hamasa ili watu wajiunge maana mtu unasafiri mwenyewe siti 4 ziko wazi its not economical kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…