Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Safi kabisa.. trip huwa inakuwa tamu sana. location bado ina load ๐๐Hizi naziplay kila siku nowdays
chukua ingine hii ๐๐Hizi naziplay kila siku nowdays
H aaah aha humu nakubali kabisa vipo vya kutosha
Safi kabisa.. trip huwa inakuwa tamu sana. location bado ina load [emoji41][emoji41]
Haha baba mtakatifu huyu huyu na mwendo mdo mdo!! Since when?๐๐๐ na mwendo wetu mdogo mdogo wa mama Samia
View attachment 1903174
๐๐๐Haha baba mtakatifu huyu huyu na mwendo mdo mdo!! Since when?
Nyimbo zako zimenibariki... Blessings!
Kula na hii kabisaa ๐๐Haha baba mtakatifu huyu huyu na mwendo mdo mdo!! Since when?
Nyimbo zako zimenibariki... Blessings!
Hapo barabarani kabisa Haile Selassiecode wazee wa trip za town ๐๐
View attachment 1903443
Hapo barabarani kabisa Haile Selassie
Nilikuwa mitaa yako leo mcity, kuku kukucode wazee wa trip za town [emoji41][emoji41]
View attachment 1903443
leo nilikuwa asubuhi pale colomboNilikuwa mitaa yako leo mcity, kuku kuku
Sasa hivi nimeingia hapa ๐๐Sijawahi kuingia ila napita kila siku njia hio
Juliana ama? Kahawa hamna hapo mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa hivi nimeingia hapa [emoji41][emoji41]View attachment 1903629
๐๐๐ Juliana mkuu.. nina chambo na ndoana.. nasikia hapa kuna samaki wengi wanahitaji vuliwa tuJuliana ama? Kahawa hamna hapo mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jumapili huwa nakaa home siku nzima ndio siku pekee napumzikaSasa hivi nimeingia hapa ๐๐View attachment 1903629
Mida ya uvuvi bado mkuu ila ni vema umewahi utie chambo mapema. Humo ndio penyewe, enjoy[emoji16][emoji16][emoji16] Juliana mkuu.. nina chambo na ndoana.. nasikia hapa kuna samaki wengi wanahitaji vuliwa tu
Dah pole mkuuJumapili huwa nakaa home siku nzima ndio siku pekee napumzika