Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Safi kabisa.. trip huwa inakuwa tamu sana. location bado ina load 😎😎Hizi naziplay kila siku nowdays
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi kabisa.. trip huwa inakuwa tamu sana. location bado ina load 😎😎Hizi naziplay kila siku nowdays
H aaah aha humu nakubali kabisa vipo vya kutosha
Safi kabisa.. trip huwa inakuwa tamu sana. location bado ina load [emoji41][emoji41]
Haha baba mtakatifu huyu huyu na mwendo mdo mdo!! Since when?😎😎😎 na mwendo wetu mdogo mdogo wa mama Samia
View attachment 1903174
😎😎😊Haha baba mtakatifu huyu huyu na mwendo mdo mdo!! Since when?
Nyimbo zako zimenibariki... Blessings!
Kula na hii kabisaa 😊😊Haha baba mtakatifu huyu huyu na mwendo mdo mdo!! Since when?
Nyimbo zako zimenibariki... Blessings!
Hapo barabarani kabisa Haile Selassiecode wazee wa trip za town 😎😎
View attachment 1903443
Hapo barabarani kabisa Haile Selassie
Nilikuwa mitaa yako leo mcity, kuku kukucode wazee wa trip za town [emoji41][emoji41]
View attachment 1903443
leo nilikuwa asubuhi pale colomboNilikuwa mitaa yako leo mcity, kuku kuku
Sasa hivi nimeingia hapa 😎😎Sijawahi kuingia ila napita kila siku njia hio
Juliana ama? Kahawa hamna hapo mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa hivi nimeingia hapa [emoji41][emoji41]View attachment 1903629
😁😁😁 Juliana mkuu.. nina chambo na ndoana.. nasikia hapa kuna samaki wengi wanahitaji vuliwa tuJuliana ama? Kahawa hamna hapo mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jumapili huwa nakaa home siku nzima ndio siku pekee napumzikaSasa hivi nimeingia hapa 😎😎View attachment 1903629
Mida ya uvuvi bado mkuu ila ni vema umewahi utie chambo mapema. Humo ndio penyewe, enjoy[emoji16][emoji16][emoji16] Juliana mkuu.. nina chambo na ndoana.. nasikia hapa kuna samaki wengi wanahitaji vuliwa tu
Dah pole mkuuJumapili huwa nakaa home siku nzima ndio siku pekee napumzika