ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Labda na mimi siku nitakuja kutamka maneno haya [emoji23][emoji23][emoji23]Vijana mnayaweza mambo yenu.
Mi starehe za kelele sizitaki.
House party ndo nazifanya sana.
Nachoma nyama, nanunua drinks za kutosha, naita washkaji kama 5 mpaka 10.
Tunakula na kunywa, kama kuna match au movies tunaangalia wote. Ikifika saa 2 usiku kila mtu kwake.
Haya ya vidimbwi nadhani yalishanishindaga kitambo sana.
[emoji1787]Nilijaribu siku moja nikashindwa
Ngumu sana
[emoji23][emoji23][emoji23]Hongera sana kwake
Wengine tukisikia Juliana picha ya vilevi inajaa kichwani
Muda huo nishalala, hapa nimeamka sooo fresh kwa wiki ingine....ngoja nipige Ka trip wii chache zijazoMimi ndo naingia small planet sahizi [emoji23][emoji23]
Buku 20 tu inanipeleka mpaka asubuhi. Aliyesema starehe gharama nani?
September lazima niingie Tanga mkuu. Ntapitia uzi nione maeneoMuda huo nishalala, hapa nimeamka sooo fresh kwa wiki ingine....ngoja nipige Ka trip wii chache zijazo
Toyota brand kwa TZ ni kama maji tu, usipokunywa, utayaoga.Balozi akiwa mjini anatumia BMW X5.
Akienda mikoani anatumia LC200 na Prado.
Hizi mm ndio nazipendaga pori kwa poriTrip [emoji110]View attachment 1903737
🤣🤣🤣 ndio maana sitakagi vya bei chee. Cha bei chee bora nipande bus tu.Nakushusha katiksti ya Pori afu nakurudiahia hela yako
Over speeding kills.Cha kufanya ni kuongeza sauti ya muziki na kumwaga moto mpaka akae kimya kwa kihoro au aombe mwenyewe kurudishiwa hela ashuke.
[emoji26]Nimepoteza rafiki kwenye hii ajali.View attachment 1904534View attachment 1904535View attachment 1904536
Dah!. Poleni sana aisee...Hiyo pic no 2 🥺Nimepoteza rafiki kwenye hii ajali.View attachment 1904534View attachment 1904535View attachment 1904536
asante sanatwende kesho usiku morogoro lift ya bure kabisaaa, alafu tunarudi jumanne asubuhi 😎😎
Pole sn mkuu, sote njia njia moja mbaya kutangulia!Nimepoteza rafiki kwenye hii ajali.View attachment 1904534View attachment 1904535View attachment 1904536
nilipie hela zote hizo na gari za magazeti zipo!!🤣🤣🤣 ndio maana sitakagi vya bei chee. Cha bei chee bora nipande bus tu.
Eti unakuta stand private car unaambiwa Arusha Dar 20K? Nani apande?
Nisipojisikia kupanda bus naingia in Drive uhakika alphard za 50K kibao. Ukitaka kiboss 100-150K na kuzidi zipo...
Dec nilienda Dar na jiwe na ishirini sikujutia... Ile safari ilikuwa bombastic sana.
Ya magazeti naskkia abiria wanashikaga roho mkononi?nilipie hela zote hizo na gari za magazeti zipo!!
mwendo unaua wakuu. 😢Nimepoteza rafiki kwenye hii ajali.View attachment 1904534View attachment 1904535View attachment 1904536
Pole sana mkuu...ajali hii imetoa hisia mbalimbali kwenye jamii yetuNimepoteza rafiki kwenye hii ajali.View attachment 1904534View attachment 1904535View attachment 1904536