Miguu inaniwasha sanaMkuu siku hizi nimekuwa boss kitambe meneja, safari zimekuwa nadra sana, ila safari za town nazipiga kweli kweli Tume waachia ma junior 😁😎 ila jumamosi nina safari naenda Tabora hadi kahama alafu narudi Dar . mwenye abiria.. condition pisi kali mguu ya bialeee 😎
Sogea hata morogoro mkuu sio mbali sana 😁😁😁Miguu inaniwasha sana
Hahahahah pametulia hapa sio?Holy Man ISO M.CodD trip zimekata?
Mwisho wa mwaka unakujaHahahahah pametulia hapa sio?
Umemsahau @Depal [emoji3]
Mbona katajwa mkuu 😂Umemsahau @Depal [emoji3]
Nipo zangu Benaco hapa nasikilizia mzigo wa kurejea nao Daslam
Kwahiyo sisi wenye miguu ya soda sijui ya miwa hatupandi hiyo lift? AsalaleeMkuu siku hizi nimekuwa boss kitambe meneja, safari zimekuwa nadra sana, ila safari za town nazipiga kweli kweli Tume waachia ma junior 😁😎 ila jumamosi nina safari naenda Tabora hadi kahama alafu narudi Dar . mwenye abiria.. condition pisi kali mguu ya bialeee 😎
Mkuu siku hizi nimekuwa boss kitambe meneja, safari zimekuwa nadra sana, ila safari za town nazipiga kweli kweli Tume waachia ma junior [emoji16][emoji41] ila jumamosi nina safari naenda Tabora hadi kahama alafu narudi Dar . mwenye abiria.. condition pisi kali mguu ya bialeee [emoji41]
Za kusoma changanya na zako.. imeisha hiyo kuna raha ya safari na maua mazuri mazuriKwahiyo sisi wenye miguu ya soda sijui ya miwa hatupandi hiyo lift? Asalalee
Aaaaah! umekazia hii mwanzo wa bandiko.. na sie tunatembea na kiini cha bandiko letu hili pendwaMimi sina masharti jamani....
Kesho nilikuwa nipige trip moja ndefu kishenzi nayo ime dead duh!Hahahahah pametulia hapa sio?
Kwendraaaaaa 😂Za kusoma changanya na zako.. imeisha hiyo kuna raha ya safari na maua mazuri mazuri