Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hivi mnavyong’ang’aina hizo pisi kali kina sie mnategemea tupewe lift na nani?

Manake RRONDO Iso wote wanaweka condition ya Upisi kali
Punguzeni masharti bwana tufaidi wote hizo trip
Tutapambana nao humohumo hadi watupe lift[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi na gauni langu la kwaya nitaomba lift na watanipa[emoji38]
 
Back
Top Bottom