Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Tandale sijui hata ipo wapi[emoji23] nimeitaja tu.Tandale mnapanda za wapi? Au unatuleta na wewe?
Me naijua ile ya pale magomeni kanisani inaingia kwa ndani huko.
Kuna watu wanaijua Daslam sana, nina rafiki angu anajua chocho hatari. Kwanza Dar humtoi, anakwambia nikitoka nje ya Dar nitapauka.
Sent using Jamii Forums mobile app