Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Tandale mnapanda za wapi? Au unatuleta na wewe?

Me naijua ile ya pale magomeni kanisani inaingia kwa ndani huko.

Kuna watu wanaijua Daslam sana, nina rafiki angu anajua chocho hatari. Kwanza Dar humtoi, anakwambia nikitoka nje ya Dar nitapauka.
Tandale sijui hata ipo wapi[emoji23] nimeitaja tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi Dom tu walihamishia stand sabasaba toka jamatini nilipotea.
Nilikuwa sijui kama wamehamisha[emoji23]

Lengo langu ilikuwa niende barabara ya 7 kule,aisee..nilizunguka ile siku ile hadi nikachukua boda.

Sasa wewe tu Kumbe unapotea,itakuwa Mimi?[emoji38]

Tandika sijui hata ipo wapi[emoji23] nimeitaja tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁 inabidi tukurudishe Dom.

Mimi kkoo? Napotea jua linawaka, inakuwa sio kupotea kabisa ila kuzunguka kutafuta uendapo kunakuwa kumezidi.

Utapajuaje Tandika na mtoto upo mitaa ya chole road huko? Ila Tandika kunakufaa sana wee mshona magauni ya kanisani.
 
[emoji16][emoji16] inabidi tukurudishe Dom.

Mimi kkoo? Napotea jua linawaka, inakuwa sio kupotea kabisa ila kuzunguka kutafuta uendapo kunakuwa kumezidi.

Utapajuaje Tandika na mtoto upo mitaa ya chole road huko? Ila Tandika kunakufaa sana wee mshona magauni ya kanisani.
[emoji38] Dom nilirudi December ila niliishia kuzunguka milembe majengo mapya.

Sasa wewe kkoo utahangaika kutafuta uendapo,mimi hata niendapo sipajui[emoji23]
Wanaoniambia niende nitatumia Google map hawanitakii mema.

Siku hizi nimepunguza vitenge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji38] Dom nilirudi December ila niliishia kuzunguka milembe majengo mapya.

Sasa wewe kkoo utahangaika kutafuta uendapo,mimi hata niendapo sipajui[emoji23]
Wanaoniambia niende nitatumia Google map hawanitakii mema.

Siku hizi nimepunguza vitenge.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kariakoo sipotei hata robo

Jana nimeenda kwa mtogole nilipata tabu sana
Kilichotokea ni kuita Bolt kabla hawajanikwapua
 
Subie? Sitakiiii.... Nataka ile A... niliyoisikia. Ilinipa mzukaaaa
Ile eeh! basi now tunavuta hii bwana weeee... ukiingia nyang'ang'anya

9DDFC7C4-A818-4C99-8B64-6D896DBA903B.jpeg
 
Back
Top Bottom