Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ukiangalia tyre ya mbele hakuna nafasi ya kurudi nyuma, lakini tyre ya nyuma Kuna nafasi ya kwenda mbele japo ni kidogo mno. Hivyo tutaitumia nafasi hiyo kufanya kitu.
Tufanye hivi...

Lets the front tyre iwe danger zone 1 na tyre ya nyuma iwe danger zone 2.

Danger zone 2 ambayo ni nyuma Kuna space japo ni kidogo mno, hiyo space tuipe jina la ( LAST KISS, watu wa forex wataelewa [emoji23])

Kwaiyo tutaingiza Kona ya kulia hadi mwisho alafu tutaenda mbale kidogo kidogo (kwa tahadhari huku tukicheki side mirror hapo kwenye tyre ya mnyuma kushoto ambapo ni danger zone 2)

Baada ya kufanya hivyo tutakua tumetengeneza space tyre ya mbele ya kushoto ambayo ni danger zone 1.

Sasa basi baada yakupata space tyre ya mbele tutaongiza Kona ya kushoto Kisha tutarudi nyuma ambapo tutakua tumetengeneza space ya kutosha kwa tyre ya mbele kupata ground floor ya Barabara na tutakua tumefanikiwa kukwepa hilo shimo.
 
Hahaha aisee.. Umetishaa

Afu ID yako naisomaga kama Premio 😂
 
Mimi ya kwangu wiki ijayo mapema. Dar Dodoma Babati Bashnet
Mkuu sina trip sasa hivi. Trip zote zipo rejected ma junior wamezichukua. Safari zipo nyingi ila sasa dah nafasi hazipo za kutoka.. labda niamue mwenyewe na mpunga nitoe wangu mwenyewe hapo ndio panakana sitopata ubavu wa kwenda bambalaga 🥸🥸
 
Nina ID's 2 humu. Ukute Ile ID nyengine tushachatishana hadi inbobo huko [emoji23]
Two Id's for which purpose? Utakuja jichanganya siku upate tu aibu 😂

Kuna mtu anazo mbili nilikuja kumshtukia baada ya kula mtong.o.z.o kwenye zote na picha akashare ile ile nikamchana akanambia nivunge like nothing happened.
 
Two Id's for which purpose? Utakuja jichanganya siku upate tu aibu [emoji23]

Kuna mtu anazo mbili nilikuja kumshtukia baada ya kula mtong.o.z.o kwenye zote na picha akashare ile ile nikamchana akanambia nivunge like nothing happened.
Baharia alichochora, lazima ajilaumu... Ko mtongozo haukufua dafu [emoji81][emoji81][emoji81]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…