Premij canoon
JF-Expert Member
- May 27, 2018
- 1,203
- 2,771
Tufanye hivi...Ukiangalia tyre ya mbele hakuna nafasi ya kurudi nyuma, lakini tyre ya nyuma Kuna nafasi ya kwenda mbele japo ni kidogo mno. Hivyo tutaitumia nafasi hiyo kufanya kitu.
Lets the front tyre iwe danger zone 1 na tyre ya nyuma iwe danger zone 2.
Danger zone 2 ambayo ni nyuma Kuna space japo ni kidogo mno, hiyo space tuipe jina la ( LAST KISS, watu wa forex wataelewa [emoji23])
Kwaiyo tutaingiza Kona ya kulia hadi mwisho alafu tutaenda mbale kidogo kidogo (kwa tahadhari huku tukicheki side mirror hapo kwenye tyre ya mnyuma kushoto ambapo ni danger zone 2)
Baada ya kufanya hivyo tutakua tumetengeneza space tyre ya mbele ya kushoto ambayo ni danger zone 1.
Sasa basi baada yakupata space tyre ya mbele tutaongiza Kona ya kushoto Kisha tutarudi nyuma ambapo tutakua tumetengeneza space ya kutosha kwa tyre ya mbele kupata ground floor ya Barabara na tutakua tumefanikiwa kukwepa hilo shimo.