Km kule loliondo kwa babu probox ndio daladala zao zinapiga kazi balaa masai wanajaa ndani mpk kwenye carier[emoji847]Last week nilikua geita kule Toyota wish ndo wamezifanya daladala mtaani nimeshangaa Sana halafu wanazitunza balaa mbele kule ziko vizuri kabisa na hazijapondeka mbele na Zina piga ruti za rough road humu jukwaa zinaitwa kenge mara nyoka na zinapondwa hatari humu jf.
Ulifanikiwa kupata mzigo wa kuuleta mjiniRough road?
Labda kama alipitia karagwe-benaco, lakini kama aliingia lusahunga pale ni mwendo wa tarmac road
Uwe na safari njema........ila ni safari ndefu sana ni zaidi ya kilometa buku.......unatumia machine gani mkuu???Arusha - Dodoma - Mbeya - Tunduma - Sumbawanga
Dua zenu
Km 1,300 mkuu si mchezoUwe na safari njema........ila ni safari ndefu sana ni zaidi ya kilometa buku.......unatumia machine gani mkuu???
Kwa kipando hicho safari utaifurahia......drive safely and obey traffic law ili usile vyeti vya kutoshaKm 1,300 mkuu si mchezo
Niko na Vw Touran
Ahsante sana mkuu🙏
Nitateseka kidogo kipande cha Dodoma - Iringa, Igawa - Tunduma na kidoogo yale matuta ya Tunduma SumbawangaKwa kipando hicho safari utaifurahia......drive safely and obey traffic law ili usile vyeti vya kutosha
Dom - Iringa yale mahandaki huwa yanatesa ila Kati ya Mtera na Migoli Kuna unafuu,shida itaanza kati ya Migoli mpaka Isiimani baada ya hapo ni furaha tuu,utakwenda kuteseka tena kipande cha Igawa shida na kero ni matuta ya Tunduma Swanga maana waliyaweka km vile walikuwa wanakomoa,,Hapa
Nitateseka kidogo kipande cha Dodoma - Iringa, Igawa - Tunduma na kidoogo yale matuta ya Tunduma Sumbawanga
Ahasnte mkuu nitajitahidi kuzingatia ushauri wako
Hadi nimesahau hiyo safari mzee[emoji3]Ulifanikiwa kupata mzigo wa kuuleta mjini
Safari njema.Muleba to Dom Maombi yenuView attachment 1922591
Naendeshwa mkuuMjep anaendesha Mjerumani
2.0 fsi2.0fsi au 1.4tsi ?
Mkuu nimelala nyumbani 😀😀😀😀 nimekaa mlimani city hapakaliki kabisaaHoly Man uko mjini au nje ya mji?